Usaliti wa Wabunge wa CCM kwa wananchi...

Kwa mara ya kwanza Taifa limepata VIONGOZI yani watu wa kuonyesha njia,orodha hii uenda ikaleta maajabu ambayo hayajapata kuonekana ndani ya Bunge la Tanzania.Vyama vya vyote vya upinzani ndani ya Bunge La Tanzania na hao wabunge wawili wa CCM hakika kesho wataibuka na ushindi wa nguvu ya umma bila kujali wao ni wanachama wa chama gani!!

Pole zangu ziende kwa wana CCM kwa kuwa NYAKATI zimesomeka kwenye kuta na wasomaji wao wameshindwa kusoma bali vyama vya upinzani na Wanaccm wawili tu ndio wamesoma nyakati hizo,wasimlau mtu kwa kutosoma nyakati.!!

Upinzani na wanaccm hao wawili orodha hiyo ndio mtaji hata uchaguzi wa mwaka 2012 kama tutafika kama Taifa timilifu.Kwa kuwa kwa orodha hiyo tayari Watanzania wamejua nani ni nani kwenye Taifa.Nani yupo kwa ajili ya watanzania na nani yupo kwa aili ya maslahi ya kikundi /chama [CCM].
 
Naomba kitengenezwe kijitabu maalum chenye Title hii NI NANI MTETEZI WA HAKI ZAKO. Ndani ya kijitabu uchambuzi kwa lugha nyepesi ufanyike ukionyesha maovu yote ambayo serikali ya CCM imeyafanya kwa wananchi, uchambuzi wa taarifa ya CAG baada ya hapo wananchi waonyeshwe uhusiano wa kutokuwa na imani na serikali na matumaini yao ya baadaye. Baada ya hatua hiyo wananchi waonyeshwe nani walikuwa tayari kuchagua mageuzi ya kuwaletea maendeleo wananchi na wakina nani wamekataa hayo na kuona kuwa ni heri wananchi waendelee kunyonywa kwa kwenda mbele ili mradi wao kama wabunge waendelee kujineemesha huku wananchi wanakufa. Uchambuzi ufanyike kwa kila waziri aliyetakiwa kujiuzuru na kuweka wazi maovu yake. Kundi la wapigania haki za wanyonge lionyeshwe na picha zao na lile la wapinga haki za wanyonge waonyeshwe na picha zao na majimbo yao. Hapo wanachi wapewe nafasi ya kuamua wenyewe hakika kuna watu watakiona cha Moto kwani 2015 ni mbali? Nampenda sana mbunge wangu lakini kwa hili siko naye tena. Nilimpenda kwa kujieleza kuwa anachukia ufisadi kwani mbunge aliyemrithi alikuwa kinara wa ufisadi hivyo tuliowengi tukamuunga mkono kama mtetezi wetu, kumbe naye ni FISADI kama siyo hivyo angechukia mfumo wa ufisadi.
Napenda niwahakikishie kuwa hao walioshindwa kusaini kwa kulinda nafasi zao za ubunge basi wajue tayari huo Ubunge wataupoteza na watashangaa Mh. Deo Philikunjombe na Mh. Lugola wanapeta kwenye uchaguzi mkuu ujao. Kwa sasa tuendako kitakachofanya kazi ni nguvu ya UMMA. :A S-cry:
 
Ndugu Mbunge wangu Amos Makala, Mbona jina lako sijaliona kwenye orodha? Unamwakilisha nani bungeni? ni sisi walalahoi wa morogoro au chama chako???? Fanya maamuzi haraka kabla sisi hatujafanya maamuzi ya kukufukuza kazi 2015.
 
Mimi pia nasikitika, sina mbunge wa kututetea walala hoi wa shinyanga mjini,nijuavyo mbunge wangu ambaye angeweza kunitetea, magamba yalimpiga scud,la ki-bilogia akahama toka duniani,ila mtetezi wetu ni Mungu,atatutetea kwa wakati muafaka,Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu.
 
Mgimwa hapa Mufindi nakwambia wazi huna chako 2015 sishangai hata ktk hili hujaona maana! anakushinda hata Lugola!nimesikitika sana
 
Nasikia wabunge wa CCM waliosaini kutokua na imani na waziri mkuu ni watano tu hii inaonyesha kuwa maslahi ya chama chao ni bora kuliko taifa hawa ni wasaliti watanzania tuwaazibu kwa njia ya kura.
 
sijui kanuni zinasemaje,lakini naamini bado wana nafasi za kuweka sahihi.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
wapi MWIGULU nchemba Madelu sahihi yako mkuu, inanamaana jukumu letu tulilokutuma hutaki kulitekeleza matokeo yake umeanza kufanya unayoona unamasilahi kwako na si yenye masilahi kwetu,

tunakusubiri tutakuuliza kwanini hauwajibiki kwa ajili yetu?

nawapongeza waheshimiwa wabunge wote waliojitolea kutia saini zao bila kujali watachukuliwa hatua gani na vyama vyao especially wa heshimiwa wa CCM "big Up"
 
Hii orodha sidhani kama ipo sahihi!! Haiwezekani Lyatonga na Cheyo wakamtosa Pinda kwani wao wana mishahara ya siri kwa kazi maalum.
 
kha wewe lowasa mbunge wangu kumbe aujachoka tu kuwaunga mkno majambazi sasa utaonaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Naomba kitengenezwe kijitabu maalum chenye Title hii NI NANI MTETEZI WA HAKI ZAKO. Ndani ya kijitabu uchambuzi kwa lugha nyepesi ufanyike ukionyesha maovu yote ambayo serikali ya CCM imeyafanya kwa wananchi, uchambuzi wa taarifa ya CAG baada ya hapo wananchi waonyeshwe uhusiano wa kutokuwa na imani na serikali na matumaini yao ya baadaye. Baada ya hatua hiyo wananchi waonyeshwe nani walikuwa tayari kuchagua mageuzi ya kuwaletea maendeleo wananchi na wakina nani wamekataa hayo na kuona kuwa ni heri wananchi waendelee kunyonywa kwa kwenda mbele ili mradi wao kama wabunge waendelee kujineemesha huku wananchi wanakufa. Uchambuzi ufanyike kwa kila waziri aliyetakiwa kujiuzuru na kuweka wazi maovu yake. Kundi la wapigania haki za wanyonge lionyeshwe na picha zao na lile la wapinga haki za wanyonge waonyeshwe na picha zao na majimbo yao. Hapo wanachi wapewe nafasi ya kuamua wenyewe hakika kuna watu watakiona cha Moto kwani 2015 ni mbali? Nampenda sana mbunge wangu lakini kwa hili siko naye tena. Nilimpenda kwa kujieleza kuwa anachukia ufisadi kwani mbunge aliyemrithi alikuwa kinara wa ufisadi hivyo tuliowengi tukamuunga mkono kama mtetezi wetu, kumbe naye ni FISADI kama siyo hivyo angechukia mfumo wa ufisadi.
Napenda niwahakikishie kuwa hao walioshindwa kusaini kwa kulinda nafasi zao za ubunge basi wajue tayari huo Ubunge wataupoteza na watashangaa Mh. Deo Philikunjombe na Mh. Lugola wanapeta kwenye uchaguzi mkuu ujao. Kwa sasa tuendako kitakachofanya kazi ni nguvu ya UMMA. :A S-cry:
Da kazi kweli kweli....mbona wapinzani watupu ...? CCM 2 tu ? haina haja kupeleka hoja hii, hapa inaonekana Zito kuna ajenda ya siri labda anataka kupanda chati agombee Urais kumpiku Slaa 2015, pia inawezekana kuna maslahai binafsi ya baadhi ya kamati hizi bunge..nimemsikia Nundu akieleza kwa nini haoni sababu ya kujiuzulu..kumbe kuna watu wana shinikiza KAMPUNUI MOJA TU YA CHINA CIVIL AND CONSTRUCTION LTD bila ya kufata taratibu za Zabuni,
yeye anataka zabuni iitwe na zishindane ili kampuni iliyo bora zaidi ifanye kazi..hizi ndio taratibu, sasa maslahi ya watu binafsi wanaenda wanatoa ripoti za kubuni kwa kina zito na wao bila ya tafiti au kwa maslahi watayopata wanamgeuzia kibao waziri Nundu.
ndio maana CCM 2 tu wamesaini motion hii, Namfahamu NUndu ni mtu msafi sana...kuliko zito..as inaoneka zito kupewa ukuu wa kamati hii ya bunge basi kuna maslahi anayaweka..rejea sakata la CHC NA MKULO ..hali ni hio hio....maslahi tu
wasijifanye wanatetea maslahi ya nchii hii.wote ni maslahi tu.
chunguzeni , someni itafute ripoti ya CAG UJUE UKWELI KUPOTOSHA KWA MASLAHI BINAFSI HAISAIDII KITU
 
Kizungumkuti kinachoendelea dodoma kimedhihirisha kuwa ccm ni chama kinachofuga viongozi wasioweza kuchukua hatua.

Juzi tulishuhudia wabunge karibu wote waliochangia hoja za kamati teule wakionyesha machungu,jazba na hasira dhidi ya serikali kwa manufaa ya umma.
Baadae mh. Zitto akawatia mtegoni na kuwaambia 'maneno matupu hayavunji mfupa' na pia 'kazi ya mbwa ni kuuma na sio kubweka tu'
kama tulivyotegemea jamaa wakanasa mtegoni, wameshindwa kusaini!!

Sababu ya kushindwa kutia sahihi ni moja tu(kwa tafsiri yangu)......nayo ni WOGA WA FISI.

Huwezi kumshutumu waziri eti hachukui maamuzi wakati wewe mwenyewe umepata fursa ya kufanana na hiyo ukaogopa kufanya hivyo.

Nasema kama kuna mbunge 'kidume' kutoka ccm ajiainishe rasmi kwamba anabariki baraza la mawaziri liendelee na kazi mpaka bwana mkubwa akijisikia kulibadilisha.nataka kumuona anakusanya sahihi za wabunge 50%+1 ili akae mkao wa kumuokoa pinda pindi zitto atakapowasilisha hoja.

Kama hakuna basi huu uwe mwanzo na mwisho wa kujidai mnarukia hoja za wapinzani wakati hamna guts za kusimamia.

Makamba,zambi,sendeka,kilango,lusinde n.k jitokezeni either mmoja wenu au kwa umoja wenu mpambane na zitto.kama ikishindikana basi jitokezeni na mseme mko neutral ili wananchi wajue nani ni nani kwenye kusimamia maslahi yao..............................

Tunataka kujua kati ya YES, NEY na NEUTRAL nyie wabunge wa ccm mko wapi?

Nawasilisha...
Da kazi kweli kweli....mbona wapinzani watupu ...? CCM 2 tu ? haina haja kupeleka hoja hii, hapa inaonekana Zito kuna ajenda ya siri labda anataka kupanda chati agombee Urais kumpiku Slaa 2015, pia inawezekana kuna maslahai binafsi ya baadhi ya kamati hizi bunge..nimemsikia Nundu akieleza kwa nini haoni sababu ya kujiuzulu..kumbe kuna watu wana shinikiza KAMPUNUI MOJA TU YA CHINA CIVIL AND CONSTRUCTION LTD bila ya kufata taratibu za Zabuni,
yeye anataka zabuni iitwe na zishindane ili kampuni iliyo bora zaidi ifanye kazi..hizi ndio taratibu, sasa maslahi ya watu binafsi wanaenda wanatoa ripoti za kubuni kwa kina zito na wao bila ya tafiti au kwa maslahi watayopata wanamgeuzia kibao waziri Nundu.
ndio maana CCM 2 tu wamesaini motion hii, Namfahamu NUndu ni mtu msafi sana...kuliko zito..as inaoneka zito kupewa ukuu wa kamati hii ya bunge basi kuna maslahi anayaweka..rejea sakata la CHC NA MKULO ..hali ni hio hio....maslahi tu
wasijifanye wanatetea maslahi ya nchii hii.wote ni maslahi tu.
chunguzeni , someni itafute ripoti ya CAG UJUE UKWELI KUPOTOSHA KWA MASLAHI BINAFSI HAISAIDII KITU
 
Da kazi kweli kweli....mbona wapinzani watupu ...? CCM 2 tu ? haina haja kupeleka hoja hii, hapa inaonekana Zito kuna ajenda ya siri labda anataka kupanda chati agombee Urais kumpiku Slaa 2015, pia inawezekana kuna maslahai binafsi ya baadhi ya kamati hizi bunge..nimemsikia Nundu akieleza kwa nini haoni sababu ya kujiuzulu..kumbe kuna watu wana shinikiza KAMPUNUI MOJA TU YA CHINA CIVIL AND CONSTRUCTION LTD bila ya kufata taratibu za Zabuni,
yeye anataka zabuni iitwe na zishindane ili kampuni iliyo bora zaidi ifanye kazi..hizi ndio taratibu, sasa maslahi ya watu binafsi wanaenda wanatoa ripoti za kubuni kwa kina zito na wao bila ya tafiti au kwa maslahi watayopata wanamgeuzia kibao waziri Nundu.
ndio maana CCM 2 tu wamesaini motion hii, Namfahamu NUndu ni mtu msafi sana...kuliko zito..as inaoneka zito kupewa ukuu wa kamati hii ya bunge basi kuna maslahi anayaweka..rejea sakata la CHC NA MKULO ..hali ni hio hio....maslahi tu
wasijifanye wanatetea maslahi ya nchii hii.wote ni maslahi tu.
chunguzeni , someni itafute ripoti ya CAG UJUE UKWELI KUPOTOSHA KWA MASLAHI BINAFSI HAISAIDII KITU
Acha chuki,zito jembe la taifa,changanya akili zako na zake.jibu utalipata.
 
Kuna wabunge kadhaa wa ccm walijigamba kuwa wao ni wapambanaji wa ufisadi! walienda mbali zaidi kwa kudai chadema waliiba hoja yao ya kupambana na ufisadi!!
Jamani niambieni mbona hawajasaini kwenye kile kidaftari cha mpiganaji Zitto?
Wewe unasema nini kuhusiana na hao wanaojiita wapambanaji?
 
orodha itumike kuwaadhibu wabunge mavuvuzela nashauri hiyo orodha ihifadhiwe na hao wabunge watambulike kama mashujaa wa karne hii wa tanzania na wapewe heshima ya pekee, pia naomba itafutie title hapa JF isiondolewe kama ilivyo ya dada Regia Mtema RP Tunakusanya kero ......" 2015 itolewe hukumu kwa waliobaki.

Napendekeza mashujaa hawa waitwe "G70" naomba kuwasilisha
 
kuna tetesi kuwa 'papa' mkono amesaini.kama ni kweli basi wabunge wengi wa ccm wanapitia jf.
 
Kuna wabunge kadhaa wa ccm walijigamba kuwa wao ni wapambanaji wa ufisadi! walienda mbali zaidi kwa kudai chadema waliiba hoja yao ya kupambana na ufisadi!!
Jamani niambieni mbona hawajasaini kwenye kile kidaftari cha mpiganaji Zitto?
Wewe unasema nini kuhusiana na hao wanaojiita wapambanaji?
kuna topic aliianzisha Mzee Mwanakijiji kuhusu wabunge wa CCM kutuchezesha "kwata" akili za watanzania.. KWELI HILO NIMELIONA
 
Hahahahahaa kweli aiseee lol
Wanafiki tu hawana lolote
 
Back
Top Bottom