Mie kwenye iphone na access vizuri chamgamoto ilikuwa baadhi ya videos tu ila picha na sometimes videos zinafunguka vizuri maana kunakuwa na links mbili moja inafanya vizuri kwa android na nyingine inafunguka kwa ios ila upande wa picha na kurefresh kwenda next page upande wa android app kuna...
Kutokuwa na generator means kwao umeme haukatikagi ila kuwa na generator na likagoma kuwaka hayo ndio matatizo rejea uwanja wa Taifa wakati wa Mechi muhimu ya kimataifa.
Kama Unauwezo zungushia ukuta Ila msingi wa ukuta upande juu Kama mete moja toka kwenye usawa wa ardhi, ndani mwaga kifusi ili nyumba iwe imeanzia juu sana Kama hauna uwezo anza na msingi mrefu sana Baadae utamwaga kifusi na kuzungushia ukuta lengo ukiwa unaingia kwako Basi uwe Kama unapandisha...
Heri Angefanya msingi uwe mrefu sana halafu a wage kifusi kuizunguka nyumba akiwa anaingia ndani ya fence anakua Kama anapanda mwinuko nyumba za jirani zitakuwa zinazungukwa na maji yake anakuwa anapeta tu.
Hii bado haiprove kwamba hakuna nguzo, what if tofali ni hollow na ndani wamepitisha nondo na kumwaga zege? Tembea uone na ujifunze zaidi kuhusu ujenzi wa kutumia hollow blocks.
Kwahiyo kampuni ya Ethiopia inakuwa inaoperates ndani ya Kenya kama Ken Gen inavyofanya kufikisha mpaka majumbani? Au Ethiopia wanaiuzia umeme Ken Gen ambao wao ndio wanasambaza kwa wakenya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.