Recent content by sharko

  1. sharko

    University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    Bongo Bahati Mbaya Sent using Jamii Forums mobile app
  2. sharko

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    ninachofurahi ni, tulianza na sare mbili group stage, mkasema hatuvuki, mara tupo rouund 16 mkasema group laini na fc porto hatumtoi, mara paap round 8 mkasema porto hajui, Man city ndo katutoa hivyo, haya majibu mnayajua wenyewe, mara ikawa mancity sio level ya madrid na bayern, anyway...
  3. sharko

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Majeruhi wanatuandama
  4. sharko

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Upo vizuri
  5. sharko

    Majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo 2nd round

    O level nimemaliza na 2.18 , gpa 4.0 diploma so kigezo na sifa tajwa ninazo. Ila sijajua udom tatizo ni nini kwakweli.
  6. sharko

    Majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo 2nd round

    Hili janga lipo udom jamani
  7. sharko

    Majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo 2nd round

    profile yangu udom ipo hivyo, na unaweza kuapply tena third round ukibonyeza 'click here'
  8. sharko

    Majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo 2nd round

    ni kweli, udom oas ipo wazi kwa third round. Sasa hata majina ya second selection bado hawajatoa. Full kuchanganyana.
  9. sharko

    Majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo 2nd round

    karata yangu ipo hapo Udom tu.
  10. sharko

    Majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo 2nd round

    Sio hicho tu, yani equivalent qualification tunaonekana kama hatuna uwezo/akili, ie. tumepita njia isiyo halali ndo maana hata mhe. fulani alitoa povu siku zilizopita. Cha kujiuliza ni kwanini wauweke mfumo huu kama hawataki tujiendeleze kielimu??
  11. sharko

    Majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo 2nd round

    Awamu ya tatu imeanza tar. 16 na mwisho ni tar. 18/10 (masaa 72 tu)
  12. sharko

    Majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo 2nd round

    habari yako mkuu, kama nilivyochangia kwenye uzi wako 'mara paaap 3rd round hiyo' . Ni kwamba inaonekana Udom walituweka pembeni waombaji wote wenye eqv qualifications. Sasa sijui tatizo ni nini, ni bora wangesema mapema kuwa hawatutaki ila sio kuchukua pesa zetu na kutuchinjia baharini. Lakini...
  13. sharko

    Mara paaap 3rd round nayo hiyo

    mfumo wa udahili mwaka huu ni kiboko.
  14. sharko

    Mwanaume kuandika neno tyu haipendezi

    Huu ndio ukakasi kabisa, Hua nakereka sana kuona hilo neno.
Back
Top Bottom