BARUA YA WAZI KWA MH. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, JOHN POMBE MAGUFULI KUHUSU OPARATION KOROSHO 2018.
NA RAMA ALLY NAHONHO, Mkulima na mtoto wa mkulima wa korosho.
Mheshimiwa rais, kwanza kabisa nikupe pole kwa kazi ngumu ya kuwatumikia wananchi hasa wanyonge. Natambua kazi hii ni...
Taarifa ya uongo.
Korosho hununuliwa kwa Tani halaf inakuwa kwa Dollar ambayo kwa report za wanunuzi tani 1 Moja imeshuka Toka 16000 hadi 14000. Ambayo ukigawanya ni sawa na kilo 1 ni dollar 14... Acha kipotosha kama umeshindwa kufanya Tafiti.
We jamaa ni kchwa maji... alaf acha dharau wakt huna kitu... ukiwa nacho lazima kionekane kama huna hakiwez kuonekana... hakuna mtu yoyote maarufu ambaye mali zake hazijulikani. Punguza ushamba..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.