Recent content by Shaoji

  1. S

    Kuelekea Botellón – Get Together 29 July 2016 maandalizi yamekamilika

    Ngoja nitafute kwanza nitafute kam-cute kwanza hapa,kakipatikana fasta nitakutumia mchango mr. engineer,haya mambo ya bahati na sibu kwenye tukio muhimu hili siyataki.kwa aliye tayari kwa company ya july 29 karibu PM
  2. S

    Kibarua changu nakiona live kinaota nyasi nikicheza na huyu binti

    rekebisha heading yako mkuu,,isomeke...ukiendelea kucheza na huyu binti.maana tayari umemchezea
  3. S

    Bango la "Mwizi Mkenya!" Mlimani City ni Ubaguzi!, Udhalilishaji!, na Very Undiplomatic Gesture!.

    Hakuna udhalilishaji wa Kenya kama nchi wala kwa Wakenya ambao hawajahusika na wizi huo hapo.Bango alilobebeshwa huyo mdada ni lenye nafsi binafisi ya mhusika 'mimi ni mwizi' na si ya wingi kwa maana ya 'sisi wakenya ni wezi',na kwa kuwa aliyeiba ni raia wa kenya ni vizuri tumtabue kuwa kumbe...
  4. S

    Kujaa kwa watu uwanja wa Taifa asubuhi kunaashiria nini?

    kujaa,tusaidie japo picha tuone huko kujaa unakokumaanisha
  5. S

    Hataki tufanye mapenzi

    Ni ugumu gani unaona kwenda kuonekana kwa wazazi wake mkuu?
  6. S

    Utafiti: Zaidi ya asilimia 87 ya wanaume huwa hawasafishi mikono wakitoka haja ndogo

    Mtoa mada nadhani ulipaswa kuwasaidia zaidi hawa wenzangu ni kwnn wanawe mikono baada ya haja ndogo. Kwa ufahamu wangu zifuatazo ni sababu za kwa nini kunawa hasa kutokana na mikono kushika/kugusana maeneo haya ambayo kimsingi ni machafu sababu yanashikwa na watu wengi:- *kitasa cha mlango...
  7. S

    Imeniuma sana, mke wangu anatembea na baba yake mdogo

    Kaka kuishi kanda ya ziwa naona hakujakusaidia kabisa,ni kwa muda gani umeishi huko kwetu? Pole sana kwa dharau za maneno ya hovyo aliyokuonyeshea huyo mkeo.
  8. S

    Nahitaji kumpata mwanaume mwenye uhitaji na serious relation

    tayari umeshapata,ama nikutafute tuongee?
Back
Top Bottom