Utafiti: Zaidi ya asilimia 87 ya wanaume huwa hawasafishi mikono wakitoka haja ndogo

Utafiti huo umefanyika kwa kuchukua sample maeneo mawili.

1. Maeneo yenye mkusanyiko mkubwa wa watu kama restaurant, hotels,Public toilets, vyuoni na makazini.

2.Maeneo ya makazi ya watu. Nyumba kwa nyumba. Nyumba kumi kumi zilichukuliwa kama sample maeneo matatu tofauti kukamilisha nyumba 30.

Ukiitaji nitakupatia nakala ya utafiti.
Tafadha tumaaswa kubadilika.

Tudumishe usafi.
Mimi ni mmoja wapo, mara nyingi nikojoapo sinawi kwasasababu nakuwa nimeushika uume sehemu kavu nyuma kidogo ya 'Kichwa' hivyo sioni kama nimechafuka. labda nisaidiwe ili niweze kujua kama huwa nachafuka bila mimi kujijua.
 
Mtoa mada nadhani ulipaswa kuwasaidia zaidi hawa wenzangu ni kwnn wanawe mikono baada ya haja ndogo.
Kwa ufahamu wangu zifuatazo ni sababu za kwa nini kunawa hasa kutokana na mikono kushika/kugusana maeneo haya ambayo kimsingi ni machafu sababu yanashikwa na watu wengi:-
*kitasa cha mlango
*handle/kitufe cha kuflashia
 
Nilishawahi kulisema hili kwamba asilimia kubwa (Zaidi ya 95%) hatunawi mikono tukitoka haja ndogo. Na nikasema ndio maana kuna watu hawapendi kupeana mikono na wanaume. Ni kweli huenda ikawa ni kavu, lakini joto la hayo maeneo na usafi binafsi vinahusika sana. Mwingine hafui kufuli kila siku, anavaa siku tatu hadi nne, mnaweza kunielewa fukuto la huko.
Mwingine katoka kushtukiza uzinzi wa ghafla ofosini au eneo lisilo rasmi na hakunawa mikono, akija haja ndogo atashika sehem zake, hiyo yote bado ni uchafu. Tujenge utamaduni wa kunawa mikono hata kama maumbile yetu hayaonyeshi umuhimu wa kufanya hivyo.

mshana jr alinizawadia avatar kwenye huo uzi!!
 
Ndio maana mi sipendi kusalimiana nao kwa kushikana mikono. Ewwww. Jitahidini basi munawege mikono.
 
Mimi ni mmoja wapo, mara nyingi nikojoapo sinawi kwasasababu nakuwa nimeushika uume sehemu kavu nyuma kidogo ya 'Kichwa' hivyo sioni kama nimechafuka. labda nisaidiwe ili niweze kujua kama huwa nachafuka bila mimi kujijua.
nyie ndo mnatushikisha mauume yenu
sijui nishashika nyume ngapi daah
 
Back
Top Bottom