Kibarua changu nakiona live kinaota nyasi nikicheza na huyu binti

rekebisha heading yako mkuu,,isomeke...ukiendelea kucheza na huyu binti.maana tayari umemchezea
 
hapa mnataka kujua lugha au kupata simulizi......lugha chafu ila ameeleweka kwa fix.....
 
Wabongo bwana wanaboa Sana....kiingereza lugha ya waingereza na baadhi ya mataifa.mbongo akikosea kiingereza anachekwa hivi kwa nini?
 
If it's true story Kwanza kili kwa mungu umetenda dhambi ya uzinzi, then kuwa transparent km kweli umempenda huyo binti , mwambie amueleze Mama yake ukweli alafu mama atatoa ushauri nini kifanyike ili baba aweze kupokea kwa namna nzuri
 
dah!! hii siyo yai sasa ni ya viza, mbona tuna lugha yetu nzuri ya kuandika na kuongea watu wakaelewa, mimi nafikir hapa kuna mtu alikuwa anakubali bila kujua kimeongelewa nini.
 
Twendeni tu taratibu jamani badala ya national anthem mtu anakwambia national song ili mradi tunaelewana wenyewe mtu anatiririka tatizo aje mwenye lugha yake sijui huwa kinayeyukia wapi hapo ni mwendo wa the kumi sentensi 3.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom