Lugombo Nsesi
Senior Member
- Jun 16, 2016
- 126
- 149
Wakuu naomba maelezo sahihi. Asubuhi ya Leo watu wamejaa uwanja wa taifa.
Je, ina maana watu hao hawana ajira? Ifahamike kwamba Leo ni siku ya kazi.
Bar zilifungwa zisifanye kazi asubuhi, ina maana watu hawana kwa kwenda!!
Mikutano ya vyama vya siasa imekatazwa eti watu wafanye kazi, mbona wote hao hawana kazi?
Au pale taifa kuna ajira...!!!!
Naomba kuwasilisha