Aisatu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 778
- 328
Wakuu habarini,
Naomba ushauri nina msichana wangu namuomba mzigo anasema hadi nikaonekane kwa wazazi wake, wakati hela ya matumizi natoa kila anapohitaji. Nitumie mbinu gani ili nifanye nae mapenzi? Na ninampenda sana nilimwambia aje home akaja na rafiki yake.
Ushauri wenu wakuu.