Recent content by shao july

  1. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awekeze kwenye utawala wa sheria, katiba mpya na tume huru ya uchaguzi

    Kila siku nasema nyinyi akili hamna!! Mtu kusema Katiba ndio sababu kukereka, hii ni ya kila mtu. Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nimeufurahia utaratibu wa kuwaapisha wateule wa Rais; utaleta heshima na kutodharauliana

    Yani unashindwa kusema alikuwa ajali Katiba , unatafuta maneno ya busara kwenye sheria? Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
  3. S

    JamiiForums Tanzania Utitiri wa viongozi serikali una tija gani kwa Taifa?

    Bado tuna muda tujitaidi kupata Katiba. Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
  4. S

    JamiiForums Tanzania Sitaki kazi - Nikki wa Pili

    Sitaki kazi - kapata kazi Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
  5. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awekeze kwenye utawala wa sheria, katiba mpya na tume huru ya uchaguzi

    Kila siku nawaambia Mataga hawana akili, ninyi huwa mnaona nawadanganya? Hawana akili hawa, wangekuwa nazo, tungejumuika sote kuidai katiba mpya. With Katiba Mpya haya mambo yote tungeweza kuangalia namna ya kuyahighlight huko. Yani wameshindwa kuelewa Chama ni kimoja kila Mtu akija...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Jokate Mwegelo hakustahili kuhamishwa Kisarawe, aliatakiwa apandishwe cheo

    Hana akili Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
  7. S

    JamiiForums Tanzania Jokate Mwegelo hakustahili kuhamishwa Kisarawe, aliatakiwa apandishwe cheo

    Tukaulize wakati tunaona !! Subiri akajenge shule na kupiga rangi hakuna ubunifu katika kichwa chake. Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hii ni CCM toleo la 4 na la mwisho; hakuna CCM nyingine baada ya hii!

    Kila siku nawaambia hawana akili, ninyi huwa mnaona nawadanganya sio? Hawana akili hawa, wangekuwa nazo, tungejumuika sote kuidai katiba mpya. With Katiba Mpya haya mambo yote tungeweza kuangalia namna ya kuyahighlight huko. Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
  9. S

    JamiiForums Tanzania TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

    Tukiwaambia tutafute Katiba mnatuona tuna shida sana sisi. Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
  10. S

    JamiiForums Tanzania Jokate Mwegelo hakustahili kuhamishwa Kisarawe, aliatakiwa apandishwe cheo

    Unategemea ubunifu kwa Jokate? Ngoja akasimamie shule wajenge Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
  11. S

    JamiiForums Tanzania Jokate Mwegelo hakustahili kuhamishwa Kisarawe, aliatakiwa apandishwe cheo

    Kwani kikubwa alichofanye yeye ni kipi? Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
  12. S

    JamiiForums Tanzania TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

    Kila siku nawaambia hawana akili, ninyi huwa mnaona nawadanganya sio? Hawana akili hawa, wangekuwa nazo, tungejumuika sote kuidai katiba mpya. With Katiba Mpya haya mambo yote tungeweza kuangalia namna ya kuyahighlight huko. Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nilitegemea Rais angeongea kitu kuhusu bodi ya Mikopo HESLB

    Yani sijui hawa watu wanakuwa wapi watu wakiwa wanaongea?
Back
Top Bottom