Recent content by Shanyc

  1. S

    JamiiForums Tanzania MiFi 4G LTE za Smile zinapatikana

    Jipatie MiFi kutoka kampuni ya smile telecommunications yenye uwezo wa kuconnect devices 10 kwa wakati mmoja na wote mkafurahia kasi ya ajabu. Rangi ni nyeusi na nyeupe Tsh 115,000/= + 10 Gb kwa mwez 1 (21mbps) Tsh 125,000/= +unlimited bundle kwa mwez mmoja (2mbps) Tsh 149, 000/= + unlimited...
  2. S

    JamiiForums Tanzania I Am Looking For A Job.

    Kaona kosa 1 tu,,, huko alikopatia kote hajampongeza
  3. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mahali pa kufungua mgahawa

    Nashukuru sana mkuu, nadhani rangi tatu panaweza kufaa zaid Nitafuatilia kwa kina. Ahsante sana kwa ushauri
  4. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mahali pa kufungua mgahawa

    Sijakumbwa na vyeti vyeki mzazi na haiwezi tokea kunikumba.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mahali pa kufungua mgahawa

    Nipo dar
  6. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mahali pa kufungua mgahawa

    Habari!!!! Kama title inavyojieleza, natafuta mahali ambapo naweza kufungua mgahawa kwa Dsm,,, nahitaji mongozo wenu kama kuna sehem unaifaham nipr direction tafadhali.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya u cashia kwenye mgahawa

    Daaah kwel nafasi haikua yangu maana pamoja na kuchelewa kutuma message,,, pia ni msichana
  8. S

    JamiiForums Tanzania KAZI: Anahitajika mpishi mgahawani, DSM

    Ukihitaji cashier nina uzoefu mkuu
  9. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Niazime laki 5 tu mkuu naenda kujiajiri fastaaaa
  10. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Ahsante mkuu ila huko sikuacha kazi ni muda tu wa kazi uliisha,, unakuta kazi ni ya miezi mitatu hivyo baada ya hapo unatafuta kwengine. Hata Cv yangu nimeweka kampuni 3 tu Ahsante kwa ushauri
  11. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Jina: Clara Salehe Umri: miaka 25 Jinsia: ke Elimu: shahada ya rasilimali watu Makazi: Mbagala kizuiani Nimefanya kazi na startimes kama sales representative, nimefanya kazi na TBL kama sales representative, nimefanya kazi na Airtel kama sales representative, nimefanya kazi na Kimberly Clark...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi: Dada anahitajika awe Secretary kwenye Kampuni ya bandarini/TPA

    Wewe ukipata hiyo michongo tupe sie wengine tunahitaji. Hata pm uje
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kamata Mwizi: Utapeli katika Ajira

    Mi nimeambiwa take home 900, 000 same post na nitume elf 20 sio 25 kama wewe, nikamjibu utasubiri sana. Na kuna kipindi huyu mtu alitengeneza kampuni feki akaiita Cindrex kama sikosei. Ni mwizi aliekubuhu ila kashashtukiwa
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ukiulizwa swali hili kwenye interview unajibuje?

    Sio kwamba ndo umepewa kazi ila wanataka kujua ratiba yako kwamba ikitokea wanakuhitaji utakua tayari kuanza kazi kwao baada ya mda gani?? Hii ndio maana yao na si kwamba ndo umeshapata kazi.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi: Afisa Mauzo na Meneja Masoko Mikoa Mbalimbali

    Hajaandika tangazo zima ila jina la kampuni ni Kokututy winery estate
Back
Top Bottom