Nafasi ya u cashia kwenye mgahawa

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,261
9,732
Anahitajika kijana wa kiume asimamie upande wa pesa na wapishi kwenye mgahawa uliopo maeneo ya ustawi wa jamii.
Malipo tutaelewana.
Kuingia kazini ni saa mbili asubuhi mpaka saa mbili usiku hivyo itakuwa vizuri akiwa anaishi maeneo ambayo atapanda gari moja.
Itahitajika barua ya utambulisho ya serikali za mtaa na mdhamini.
Aliye tayari anicheki via whatsapp au kwa sms via 0657160252.
Asanteni
 
Nashukuru kwa wote mlionitafuta na nashukuru nimefanikiwa kumpata mtu.
Asanteni sana tuko pamoja
 
Anahitajika kijana wa kiume asimamie upande wa pesa na wapishi kwenye mgahawa uliopo maeneo ya ustawi wa jamii.
Malipo tutaelewana.
Kuingia kazini ni saa mbili asubuhi mpaka saa mbili usiku hivyo itakuwa vizuri akiwa anaishi maeneo ambayo atapanda gari moja.
Itahitajika barua ya utambulisho ya serikali za mtaa na mdhamini.
Aliye tayari anicheki via whatsapp au kwa sms via 0657160252.
Asanteni
ushampata MTU tayar
 
Kumbe huo unaokarabatiwa hapo ni mgahawa mkuu!!! Afadhali aisee maana ilikuwa kazi kweli kweli!!!
 
Anahitajika kijana wa kiume asimamie upande wa pesa na wapishi kwenye mgahawa uliopo maeneo ya ustawi wa jamii.
Malipo tutaelewana.
Kuingia kazini ni saa mbili asubuhi mpaka saa mbili usiku hivyo itakuwa vizuri akiwa anaishi maeneo ambayo atapanda gari moja.
Itahitajika barua ya utambulisho ya serikali za mtaa na mdhamini.
Aliye tayari anicheki via whatsapp au kwa sms via 0657160252.
Asanteni
Daaah kwel nafasi haikua yangu maana pamoja na kuchelewa kutuma message,,, pia ni msichana
 
Back
Top Bottom