I Am Looking For A Job.

I Am Looking For A Job.

Kuna jamaa apo juu kasema na wewe eti hujui

Nijibie kwa niaba yake kwa kumwambia kuwa Mimi ni ' Wordsmith ' tokea mdogo na sijawa ' Mfuasi ' wa Ras Simba ' ukubwani ' kama Yeye. Narudia tena kusisitiza na kukuambia Wewe ' Kidudu Mtu ' kuwa acha kuwa ' Mpumbavu '. Nimemaliza nawe rasmi.
 
"Ukiwa na busara na uelewa wa kuelewa kua sote tulitoka kwenye matumbo ya mama zenu tukiwa hatuijui hata "a",.., tukakuta kitu kinachoitwa "KUJIFUNZA", basi hutopata shida kucheka makosa ya mtu kwenye kitu ambacho alijifunza kama wewe ulivyojifunza'..... (otherwise ulizaliwa tayari unajua).

Ukiachilia mbali lugha ya kingereza ambayo ni lugha tuliojifunza darasani, Kiswaili ni lugha yetu ya Taifa lakini bado kuna Watanzania wengi ambao wanakosea kwenye lugha hii hii yetu... (yamkini hata mimi naandika apa pia naweza kua nimekosea mahali, naruhusu kusahihishwa)...

"You might be running already while am still learning on taking steps, instead of laughing at me that i can't walk well, it would have sound better if you could hold my hands and stand to correct me"....

Thank You,

Bado nasisitiza ukijijua bado hujakijua vizuri Kiingereza au unakibahatisha basi si busara ' kujitutumua ' kukiandika humu kwani kuna wengine mnavyokikosea mnatutia tu hasira na kibaya zaidi hasira zinatupanda hasa pale ambapo tunaona kabisa kuwa tayari Mwenyezi Mungu ameshatupa lugha yetu nzuri tu na ya kujivunia kabisa na adhimu ya Kiswahili ambayo inasifika na kujulikana dunia nzima lakini tunaipuuza kwa kujilazimisha kukitaka Kiingereza ambacho hata hivyo bado tunahangaika kukijua na pengine inawezekana tusikijue hadi mauti.

Tukidumishe Kiswahili chetu na tuache kiherehere cha ama kuandika au kuongea Kiingereza wakati hatujui / hatukijui.
 
Nijibie kwa niaba yake kwa kumwambia kuwa Mimi ni ' Wordsmith ' tokea mdogo na sijawa ' Mfuasi ' wa Ras Simba ' ukubwani ' kama Yeye. Narudia tena kusisitiza na kukuambia Wewe ' Kidudu Mtu ' kuwa acha kuwa ' Mpumbavu '. Nimemaliza nawe rasmi.
Ubarikiwe sana mkuu.
Ila nyie wasomi wa sikuhizii mnatukanaa hata kwa mahali pasipostail
Haya bwana kisa sijui kizungu, mi kidudu mtu!!!!!
 
Hello Everyone,

Referring To The Heading Above,

I Am A Tanzanian Lady, 23 Years Old,
Holding A Diploma In Procurement & Logistics Management ', i posses excellent inter personal skills, self driven, innovative, able to work under minimum supervision, quick learner and highly self motivated, ability to produce quality output under tight deadlines and able to handle variety of activities concurrently.

My Professional Skills.
*Computer software
Microsoft Word
Microsoft Excel
*Good communication skills
*Good interpersonal skills
*Ability to work well in a team
*Good at problem solving techniques
*Ability to adapt to a change of working environment.

Person Attributes.
I am.... honest, responsible, good character, accountable and hard working.

Hobbies.
* typing and designing different types of documents
*interaction and social life in general
*Internet.

I can work in Clearing & Forwarding Companies, In procurement and logistics departments, and in any other departments that my knowledge and ability can fit in.
I can also work in any other places too,.
i. e Super markets
Food Firms
Hotels
Media Companies...

Please consider me and, send me a Private Message.
Thank You. .
May god be with you lady with great potential!
May god be with this lady when employers read her CV!
Wish you all the Best!
 
Ubarikiwe sana mkuu.
Ila nyie wasomi wa sikuhizii mnatukanaa hata kwa mahali pasipostail
Haya bwana kisa sijui kizungu, mi kidudu mtu!!!!!

Usimchokoze Simba kwani kuna mawili ama akuraruwe au akuue kabisa. Kila la kheri!
 
Sio vizur kumcheka mtu kama umeona amekosea siunamrekebisha tu hakuna aliezaliwa anajua kila kitu
 
Procurement!! You have to be registered with the respective Board either as technician or professional !

Hawatakagi ujinga !!
 
Hello Everyone,

Referring To The Heading Above,

I Am A Tanzanian Lady, 23 Years Old,
Holding A Diploma In Procurement & Logistics Management ', i posses excellent inter personal skills, self driven, innovative, able to work under minimum supervision, quick learner and highly self motivated, ability to produce quality output under tight deadlines and able to handle variety of activities concurrently.

My Professional Skills.
*Computer software
Microsoft Word
Microsoft Excel
*Good communication skills
*Good interpersonal skills
*Ability to work well in a team
*Good at problem solving techniques
*Ability to adapt to a change of working environment.

Person Attributes.
I am.... honest, responsible, good character, accountable and hard working.

Hobbies.
* typing and designing different types of documents
*interaction and social life in general
*Internet.

I can work in Clearing & Forwarding Companies, In procurement and logistics departments, and in any other departments that my knowledge and ability can fit in.
I can also work in any other places too,.
i. e Super markets
Food Firms
Hotels
Media Companies...

Please consider me and, send me a Private Message.
Thank You. .

Hebu rekebisha kidogo na uonyeshe Unaweza kufanya nin kwenye hilo eneo la procurement...kuwa self motivated na kujua ms office na program zingine za computer pekee hazitoshi kukuuza kwenye soko la ajira..sema unaweza kufanya nini? Labda kuandaa tender documents au kuandaa procurement plan etc etc..rekebisha kidogo hapo otherwise all the best
 
thank you '
 
Studies taken: Procurement & Logistics Management.
Professional skills: Computer software ?!!!

Nadhani hizo professional skills ulizoweka hapo sio kwa ajili yako, bali ni kwa watu waliosoma mambo ya Computer/I.T as Profession.

Wewe profession yako kamili ni Procurement & Logistics Management. So weka skills ambazo ni directly linked and relevant to your profession.

Kwa wewe... hayo mambo ya computer software, Internet, Ms Word, Excel, etc yaweke kwenye category ya 'Other Skills'.

As such, unapojitangaza online in summary basis (an extract from your cv), waweza fuata mtiririko huu:

1. PERSONAL INFORMATION. Unataja gender, umri, marital status, nationality. Yes kama ulivyoanza. Hizi details ni muhimu coz kila mwajiri ana parameters zake kwenye kutafuta employees. Mwajiri anaweza kuwa anatafuta mfanyakazi wa umri fulani, au gender fulani tu, au ambaye not married, etc kutokana na sababu zake mwenyewe.
2. PROFESSION QUALIFICATION & SKILLS. Unaeleza the academic award you attained after completion of your studies. Ni kama ulivyosema kwamba "I am holding a Diploma in....". Kisha unaelezea skills ulizonazo ambazo ni directly relevant to your profession. Yaani unaweza kufanya nini kutokana na ulichokisomea.
3. WORK EXPERIENCE. Elezea uzoefu wa kazi ulionao. Hata kama ni fresh from school, weka uzoefu wa 'Field Work'. So utasema sehemu/shirika/kampuni ulipofanya kazi, title/rank yako ilikuwa ni ipi, na duties/responsibilities ulizokuwa ukiperform. Hii inamsaidia mwajiri kuona kuwa kweli skills ulizopata theoretically darasani umeshaziapply kwa vitendo, na ndo uzoefu wenyewe sasa.
4. OTHER SKILLS. Unataja ujuzi mwingine ulionao apart from your profession. Mfano hayo mambo ya computer software/programs application. Digital skills (photo editing, video shooting, n.k.). Driving skills with valid license, etc etc. Hapa panamvutia sana mwajiri coz waajiri wanapenda mfanyakazi mwenye multiple skills, kwamba atakuwa multi tasked.
5. LANGUAGE & LEVEL. Eeleza lugha ambazo unazimudu vyema. Mfano "I am Swahili native speaker. I am fluent in English & French, both spoken and written.
Pia ni vizuri kuweka several contact channels kwenye tangazo lako mitandaoni (kama hapa JF). So, apart from 'send me a private message', ongeza other means of swift contact. Coz it may happen you are in a situation that you can not access Jf for a while, but wasomaji ni wengi na wakaweza kuwasiliana nawe promptly kwa njia nyingine kama simu, email id.

Congrats kwa uwezo huo ulionao dada'ake, pursuant to your edu level. English yako ni nzuri. Ukiimprove itakuwa superb. Kuna watanzania wengi tu wasomi wa levo ya 'chuo chikuu' but they can't compose even a one page write-up kwa kizungu. Na ndo hao wamejaa maofisini as seniors. Hii lugha ya malkia inatia njaa aisee.
Otherwise nikutakie kila lakheri in your job hunt. May Almighty God be with you in this regard.
Zangu dua.

-Kaveli-
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom