Natafuta mahali pa kufungua mgahawa

Shanyc

Senior Member
Sep 28, 2013
171
21
Habari!!!!
Kama title inavyojieleza, natafuta mahali ambapo naweza kufungua mgahawa kwa Dsm,,, nahitaji mongozo wenu kama kuna sehem unaifaham nipr direction tafadhali.
 
Njoo Mbagala Mkuu. Kati ya sehemu ambazo Jiji linakua kwa kasi kubwa ni Mbagala. Nakushauri njoo uanzishe Mkahawa wa hadhi ya kati. Watu wengi wenye kipato cha kati wanahamia kwa wingi kila uchao maeneo ya Mbagala Kuu, Chamazi na Mbande pia maeneo mengine yanayozunguka Mbagala Rangitatu. Kwa uzowefu wangu kundi hili linakosa huduma stahiki za chakula na vinywaji baridi (si vileo) ktk maeneo hayo hasa inapotokea kufikiwa na mgeni mwenye taadhima au "mtoko" wa kifamilia. Na hasa itakuwa vema ukilenga maeneo ya kati ya Kizuwiyani na Rangitatu. Eneo hili limejiongezea umaarufu kutokana na Taasisi nyingi hasa mabenki kuweka matawi yao kwenye eneo hili bila kusahau huduma nyingi za lazima kwa maisha ya kila siku zipo kwenye eneo hilo. Pia ni kitovu na makutano kwenda na kutoka maeneo mengine ya Mbagala Kuu, Kiburugwa na Barabara iendayo mikoa ya Kusini.

Kuhusu changamoto na upinzani wa kibiashara si mkubwa sana, kwani kwa sasa Mbagala yote ni Zakhem Ice Cream na wale jamaa (jina limenitoka) mkabala na Mbagala Bus Terminal ambao japo wanajitahidi kuweka aina nyingi za chakula ila tatizo lao kubwa ni ufinyu wa eneo la kufanyia kazi pia wahudumu hawana weledi katika majukumu yao hasa kuzingatia tabaka la kati wanalohudumia.

Mimi mkaazi mzowefu wa Mbagala na haya ni maoni na ushauri wangu binafsi wengine wataongezea.
 
Nashukuru sana mkuu, nadhani rangi tatu panaweza kufaa zaid
Nitafuatilia kwa kina. Ahsante sana kwa ushauri
 
Ubarikiwe kaka,umefafanua vizuri saana.
Hao Zakhem Ice Cream wanauza Ice cream za brand yao,au za azam,na ni Ice cream tupu au ni mgahawa wa chakula
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom