Natafuta kazi

Shanyc

Senior Member
Sep 28, 2013
171
21
Jina: Clara Salehe
Umri: miaka 25
Jinsia: ke
Elimu: shahada ya rasilimali watu
Makazi: Mbagala kizuiani
Nimefanya kazi na startimes kama sales representative, nimefanya kazi na TBL kama sales representative, nimefanya kazi na Airtel kama sales representative, nimefanya kazi na Kimberly Clark kama brand ambassador wa Huggies and kotex. Nimefanya kazi Temesa canteen kama cashier.
Naombeni msaada wenu kwenye mojawapo kati ya kazi hizo.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Clara, kuna swali moja huwa linakera sana utaulizwa, why uliacha kazi kwenye makampuni yote hayo???? So, next time kwenye CV yako andika makampuni machache mawili au matatu tu.........kwa orodha hiyo yote ni vigumu hata kuwa shortlisted kwa ajili ya interview! Piece of advice mkuu
 
Ahsante mkuu ila huko sikuacha kazi ni muda tu wa kazi uliisha,, unakuta kazi ni ya miezi mitatu hivyo baada ya hapo unatafuta kwengine. Hata Cv yangu nimeweka kampuni 3 tu

Ahsante kwa ushauri
 
Back
Top Bottom