KAZI: Anahitajika mpishi mgahawani, DSM

Aljazra Restaurant iliyopo Kigogo karibu na shule ya msingi Kigogo, Dsm inatangaza nafasi ya mpishi.

Anahitajika mpishi mwenye uzoefu wa mapishi ya vyakula vya aina mbalimbali pamoja na vitafunwa (maandazi, sambusa, piza, egg chop nk..).

Elimu kuanzia darasa la saba maombi yako tuma kupitia WhatsApp 0757528827. Au fika mgahawani moja kwa moja. KARIBUNI
Hamuitaji waitress???
 
Ukihitaji cashier nina uzoefu mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom