Recent content by SHANTINAGA

  1. S

    JamiiForums Tanzania Marekani: Auawa kwa kuumwa na nyoka anaowafuga nyumbani kwake kwa siri, Polisi wakuta nyoka 124

    Nyoka ni hayawani,usicheze naye. Kuna siku atakugeuka
  2. S

    JamiiForums Tanzania NECTA acheni dharau, walipeni wasimamizi pesa zao za usimamizi wa mtihani

    Hata bagamoyo bado wanadai kiasi flani cha pesa,hali ni mbaya zaidi kwa wataalamu wa maabara,wamelipwa pesa ya siku moja na nusu wakati wanatakiwa walipwe kwa siku sita.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Naunga mkono hoja.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kauli Mbili Muhimu za Mwalimu Nyerere

    well said
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mbatia uzushi na uongo dhidi ya rais Kikwete hauwezi kumpeleka Lowassa ikulu

    Ulitegemea Ikulu ikubaliane na maneno ya Mbatia? Serikali inapoelezwa ukweli huwa inajitahidi siku zote kuufanya ule ukweli uonekane ni uongo kwa kutoa taarifa isiyo na uhalisia ili kuwapumbaza wasiopenda kutumia akili zao kwa ubora unaostahili
  6. S

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Kiislam yatoa tamko dhidi ya Lowassa na Gwajima, kuhusu Uchaguzi Mkuu 2015

    Tuambieni sasa mnayetaka tumchague,tupeni mbadala wa huyo Lowasa. Kwa maana ni kazi bure kutuambia tusimchague Lowasa halafu mkaishia hapo,au mnataka tusipige kura kabisa? Niambieni huyo anayetuahidi mahakama ya kadhi ili tumchague.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Twaweza ya #SautiZaWananchi: Magufuli na CCM wang'ara dhidi ya wapinzani - Sept 22, 2015

    "Waacheni wafu wawazike wafu wenzao"
  8. S

    JamiiForums Tanzania Gharama za Kuweka Gypsum na Tiles, Nyumba ya 14x11 Mtrs - Dar

    Hii nzuri sana, jf iishi milele.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Pumzika kwa amani kamanda Mtoi.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wakisema waendesha bodaboda sawa, ila hata kwa Wasomi? Tumepoteza matumaini

    Kwa haraka haraka inaonekana kwamba watu wengi waliowahi kushika au wanaoendelea kushikilia nyadhifa za juu serikalini ni wachafu,wengine walichafuka bila hata kuchukua pesa kwa kunyamaza pale ambapo waliwaona watu wanakwapua pesa. Binafsi nawachukia sana watu wachafu,ila nitawezaje kuwaepuka...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mwaliko wa Dr.Slaa JF, kuzungumzia ufisadi wa CCM

    Kati ya mambo magumu kabisa kwa mwanadamu ni kukataa pesa anazopewa bure hasa pale inapoonekana kuwa hata akizikataa bado hakuna kitu atakachofaidi. Mzee huyu ameionesha ile hulka ya asili ya binadamu wengi.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wiki ya kwanza ya mwezi Septemba, UKAWA watapatwa na mtikisiko Mkubwa sana ambao haujawahi kutokea

    Naona umeamua kuchuja mbu na kumeza ngamia.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Namshangaa Magufuli, anavyo fananisha mabadiliko ya Tanzania na yale ya Libya

    Dah! hatari sana,ameishiwa maneno mapema kiasi hiki,mpaka ifike october sijui atakuwa anazungumza nini! poor Magufuli
Back
Top Bottom