Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,422
Wanaomsapot lowasa wengi wao wanywa viroba
Ningekuwa mm ccm
Ningetumia 80million kununua viroba nchi nzima
Ili vigawiwe bure kuanzia tarehe 23-26
Hapo najua wanywa viroba wengi ambao n wana ukawa asilimia80
Wangekuwa wapo kwenye usingiz mzto wa viroba
Hivyo kushindwa kumpigia jambaz kura
Hongera sana usiyekunywa VIROBA,ngoja wanywa viroba tuwaonyeshe basi,maana siku hiyo hakutakuwa na KIROBA dukani tuavinunua vyote ili tunywe tarehe 27 October 2015.
Ila kwa ushauri tu,waliomuangusha Mbunge wa CCM Mbeya mwaka 2010,ni hao unaowaita wanywa VIROBA.Ambao ni sisi wapiga kura tuliompigia KURA Mbilinyi badala ya Mwalimu wa sekondari aliyeamua kutuletea vilabu vya pombe badala ya shule.
Kamuulize vizuri nadhano hadi leo anasumbuka na kauli kama yako.
Ila sisi wanyaviroba,ninakuhakikishia ndiyo wapiga kura wengi