Recent content by shangata

  1. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania ni Bernard Membe - Gazeti la India

    Waziri wa mambo ya nje wa marekani unamjua?? Sasa ulishamuona akija Tanzania Mara ngapi??
  2. S

    JamiiForums Tanzania Leo katika Kumbukumbu: Lowassa aenguliwa katika Mbio za Urais CCM

    Chadema wanajuta kwa kuuza chama. Sasa makapi ya ccm ndio yana maamuzi ya mwisho ndani ya chama
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kikwete kosa kubwa ni kumpa Magufuli chama, utanikumbuka

    Mafisadi chadema hali mbaya
  4. S

    JamiiForums Tanzania Shilingi Bilioni 3 na Mali za Bilioni 10 zataifishwa kutoka kwa wakwepa kodi Azam ICD

    China ukikwepa kodi si tu kwamba unafilisiwa ,mbali unanyongwa pia. Kulipa kodi siyo swala la hiari. Hao wafanyabiashara uchwara lzm wanyooke awamu hii.
  5. S

    JamiiForums Tanzania BAVICHA wamuasi Mbowe, waapa kwenda Dodoma

    Ndani ya chadema kila MTU ni kambale.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Unaoitwa Ukimya Wa Lowassa Una Mahusiano Na Kauli Zake?

    Ndio kawaida yenu kujifanya haiwaingii ,. Lkn mkae mkijua billion 11 siyo mchezo ndio maana Mbowe anatii kila aina ya agizo kutoka kwa Lowasa.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe awazuia BAVICHA kwenda Dodoma

    Kinondoni
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Magufuli kwa Kiingereza kwenye ziara ya Waziri Mkuu wa India

    Rais akihutubia kwa kingereza watanzania 20% ndio wataelewa kinachozungumzwa . Kwa nini uwanyime 80% ya watanzania kuelewa kinachozungumzwa kwa kisingizio cha kuwafurahisha mabalozi wasiozidi 10?? Kiswahili kwanza English baadae. Go my lovely presidaa
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe awazuia BAVICHA kwenda Dodoma

    Acha utani kwenye mambo serious. Kama hapa dar majimbo ya ukawa watoto wanakaa chini ,sembuse huko vijijini??
  10. S

    JamiiForums Tanzania mpe neno sugu

    Ndio mlichotumwa na wapiga kura wenu kwenda kufanya bungeni?? Chadema dawa yenu inachemka 2020
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe awazuia BAVICHA kwenda Dodoma

    Hizo hela mlizochanga kuendea dodoma changieni madawati. Mkumbuke watoto wa wapiga kura kwenye majimbo yenu wanakaa chini.@ chadema
  12. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua uzoefu wa uongozi kwa Mwenyekiti mtarajiwa wa CCM.

    Topic ni uzoefu
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe awazuia BAVICHA kwenda Dodoma

    Mwenye chama Lowasa aliongea Jana kuwa mambo ya maandamano na migomo waache ni tabia ya uanaharakati. Kwa hiyo Mbowe Leo ametekeleza amri ya Mwenye chama
  14. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua uzoefu wa uongozi kwa Mwenyekiti mtarajiwa wa CCM.

    Wakati Lowasa anauziwa chadema na kugombea urais alikuwa na uzoefu na chadema kwa masaa mangapi ?? Ya chadema yamewashinda ,ya ccm mtayaweza wapi??. Magufuli amekuwa mbunge na waziri kupitia ccm kwa miaka 20 !! Alafu wewe kibavicha kutoka ufipa unakuja kitumbo mbele kudai hana uzoefu na...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla: Rais punguza ukali

    Apunguze ukali kwa faida ya nani ?? Kwa faida ya majizi au kwa faida ya wananchi??
Back
Top Bottom