Leo katika Kumbukumbu: Lowassa aenguliwa katika Mbio za Urais CCM

Habari wanaJF,

“Anakatwa, hakatwi” ndilo swali lililokuwa linaulizwa nchi nzima jana, lakini hatimaye Kamati Kuu ya CCM iliyokutana hadi usiku wa manane iliibuka na jibu kwamba Edward Lowassa amekatwa, huku kukiwa na wingu zito baada ya wajumbe watatu kupingana na uamuzi huo.

Hatimaye leo ni mwaka mmoja umetimia....

Je ni chama kipi kilichanga karata vyema waliomkata au waliokuja kumpokea?
 
CCM wamenufaika kwa Funzo walilolipata zaidi na hii inawafanya wawe imara zaidi kama chama(Quality wise)
CHADEMA na ukawa wamenufaika zaidi kwa kupata wabunge wengi bungeni.(Quantity wise)
kuhusu swala la urais, upande wa upinzani haujapoteza kitu; kwasababu kwa siasa za ki-Afrika jinsi zilivyo, ni kawaida kwa Tawala kutokukabidhi madaraka kwa mazingira ya sanduku la KURA.

CDM na Ukawa kwa ujumpla wao wana kazi nzito ya kuweza Kuboresha sera zao kwa future.
CCM hawana kazi nzito tena kwakua wameshikilia Mpini.
 
Ukweli ni kwamba CCM walikuwa wamepotea basi tu ni katiba na mfumo umewatetea.

Baada ya CCM kupoteza majiji yote makubwa pamoja na Wilaya muhimu sasa wanatumia viongozi wengi wa umma kwa kufanya teuzi lukuki kutaka kurudisha nguvu ya chama na kusahau azma yao ya kubana Matumizi japo hii sera waliikopy na kupaste kutoka kwa wapinzani.
 
Hivi namba anaisoma nani?
downloadfile-28.jpeg

swissme
 
Chadema wanajuta kwa kuuza chama.


Sasa makapi ya ccm ndio yana maamuzi ya mwisho ndani ya chama
 
Watanzania wamenufaika! Sereikali ya lowassa ingekuwa ni ya kulipana fadhila

Kama alivyo wapendelea kanda ya ziwa kuwateua kila idara na sasa anakwenda kutoa fadhila kwa ndugu yake kagame maana nasikia jamii zao zinauhusia wa vinasaba.
 
Wote wamenufaika na hayo maamuzi magumu.
Ccm wamepata raisi.
Na chadema wamepata wabunge wengi pamoja na halmashauri nyingi.
Huo ni mtazamo wangu

CCM wabunge 168 mpaka 178 wa kuchaguliwa. CHADEMA pia wameongeza sasa ni nani aliye loose?
 
Teuzi za mwendo kasi...vyeo 2 mtu mmoja....na full kulipa fadhila....!! Amevunja kanuni za utumishi wa umma! Wasio ajira serikalini au umma wanapewa vyeo vya watumishi wa umma! Katiba!!!! Kilio cha watanzania ni katiba!! Ya Warioba
 
Hakuna anayetia mguu kwenye ukweli. Wote kwenye umbeya. Ndo ujue nchi umeuzwa.
Habari wanaJF,

“Anakatwa, hakatwi” ndilo swali lililokuwa linaulizwa nchi nzima jana, lakini hatimaye Kamati Kuu ya CCM iliyokutana hadi usiku wa manane iliibuka na jibu kwamba Edward Lowassa amekatwa, huku kukiwa na wingu zito baada ya wajumbe watatu kupingana na uamuzi huo.

Hatimaye leo ni mwaka mmoja umetimia....

Je ni chama kipi kilichanga karata vyema waliomkata au waliokuja kumpokea?
 
Ccm ni shujaa ,imejivua gamba na kuwatupia chadema.

Wamelivaa gamba sasa wanahangaika na kuhaha kila kona .
 
Back
Top Bottom