MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Wanabidi, nijuavyo Mimi Mh Kikwete anayemaliza muda wake alianza kua mwenyekiti wa cmm ngazi mbali mbali akiwa kijana Mdogo sana, Nakumbuka sana alipokua Mwenyekiti wa CCM mkoani wa Singida kama sehemu mojawapo aliyowahi kuishi kipindi hicho alikua ni kijana Mdogo sana. Kikwete anaifahamu CCM vizuri kuanzia matawi mpaka ngazi ya taifa. Ni mzoefu wa structure yote ya uongozi ndani ya CCM tena alikua ni kijana anayelelewa na Mwalim Nyerere enzi hizo.
Nauliza tu, vipi uzoefu wa wagombea wa uenyekiti wanaotegemewa moja kati yao kushika nafasi hiyo? Kutokua na uzoefu wa kukifahamu chama vizuri hakuna athari yeyote? Hatutakua na chama chenye uongozi wa mwendokasi kweli?
Nimeuliza hili kwa sababu ni rahisi sana kuongoza endapo mtu atakua anaijua administrative structure ya chama vizuri. Uenyekiti sio sawa na nafasi kama ya katibu mkuu ambaye yeye ni mtendaji tu lakini hawezi kua na power ya kuamua mambo flani makubwa yakihusuyo chama.