TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,742
Ni kweli siyo mtu wa kupenda kuongea au hajui cha kuongea?
1. Ni zamu ya Mlutheri kwenda Ikulu
2. Madini Makubwa Makubwa tutawapa wawekezaji wakubwa
3. Serikali ya awamu ya tano inawanyanyasa Wafanyabiashara walioichangia Chadema kwenye Uchaguzi Mkuu.
4. Rais Magufuli awaogope wafanyabiashara wakubwa