Recent content by Shamkware

  1. Shamkware

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi - Security Guards

    TANGAZO Wanahitajika 5 Security Guards: Wanaume 3 Wanawake 2 Eneo la Kazi - Kiwanda Kipo Temeke Dar Sifa: Awe na uzoefu wa kazi ya ulinzi usiopungua miaka 2 na kuendelea Aliyepitia JKT atapewa kipaumbele (added advantage) Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea Waombaji watume CV zao...
  2. Shamkware

    JamiiForums Tanzania Mlio karibu na Clemence Mwandambo mwambieni awe makini Hawa watu Wana roho mbaya

    Nafikiri huyu anajua alipo mzee wetu mwandambo!
  3. Shamkware

    JamiiForums Tanzania Muwe na Huruma au Ubinadamu hata kidogo, mnapoomba hela

    Pole mkuu, cha kudate na makahaba wapenda pesa na wasuo na kazi mkuu wao hawajari changamoto zako!
  4. Shamkware

    JamiiForums Tanzania Matajiri wanaoichangia CCM fedha nyingi wanafaidika na mfumo CCM kwa kukwepa kodi

    Wadipojipendekeza kwa CCM wanaogopa kunyolewa ipasavyo!
  5. Shamkware

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

    Endelea hivyo hivyo hivyo
  6. Shamkware

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga kabla ya mechi ya leo juzi walichapana makonde Mwamnyeto na Aziz Ki wakati wa kikao cha kocha mpya!

    Wamekosea sana kumtoa Gamondi kwa wakati huu
  7. Shamkware

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Msaada wa haraka wapendwa, mgonjwa wangu anahitaji Upasuaji MOI na familia haina fedha

    Mtafute ndugu Godlisten Malisa ana platform kubwa na ushawishi mkubwa kwa jamii endapo atpokea ombi lako mawwza pata msaada huo ndani ya masaa tu
  8. Shamkware

    JamiiForums Tanzania Kimewaka, Jamaa kasomesha binti kapata kazi kamueleza jamaa sio type yake

    mnajifanya wazazi acha mkome tu, huu ujinga tutaukemea mpaka lini wanaume tuamke bana
  9. Shamkware

    JamiiForums Tanzania Cozi ngapi za tofari zinafaa kusama kabla ya rinta kwa standard nzuri ya ujenzi!

    Habari za leo wajenzi na wajuzi, ningependa kujua hili katika ujenzi ni cozi ngapi za tofari zinafaa kusimama kabla ya ya rinta je cozi 10 au 11 ipi nzuri hasa kiujenzi. Pia ni size gani ya madirisha huwa ni nzuri na inayopendeza kwenye nyumba ya kawaida tu ya kuishi!. (yaani madirisha yawe na...
  10. Shamkware

    JamiiForums Tanzania Dunia haiko fair, leo mtoto wa Nyerere analalamika watu Serikali hawapokei simu za familia ya Nyerere

    Mzee alijishahu kuwamegea pande vijana wake kwkwrli ni changamoto hiyo, pole yao sana
  11. Shamkware

    JamiiForums Tanzania Baada ya vyombo vya habari vya nje kutangaza, nimeamini rasmi kwamba ni hujuma

    Shida nchi hii vilaza wengi sana, ulitaka wasiliport kwani wao hawaoni yanayotendeke
  12. Shamkware

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wazee kumshauri Tundu Antipas Lissu kupumzika au kuacha siasa kabisa

    Wazee tulieni kwanza, Lisu aache siasa sasa atafanya nini, na kwa akiri nyingi alizo kuwa nazo Jamaa aende CCM kuwa nyumba na chałwa kweli 😂
  13. Shamkware

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtu mwenye akili timamu hawezi kunyonya sehemu za siri. Ni Punguani pekee ndiye anaweza kufanya hivyo

    kwakweli nimejeribu kubugia mbunye nimeshindwa, hasa nikikumbuka tu kuna mijamaa mingine inapita, kuna breeding na vitu kibao daah!
Back
Top Bottom