Recent content by shambagirl

  1. S

    JamiiForums Tanzania Chuo cha upishi

    Ningependa unifundishe online vifaa na vitu baadhi vinaweza kunipa shida so nkashindwa kuelewa somo inavopaswa
  2. S

    JamiiForums Tanzania Chuo cha upishi

    Thanks na nikiwa dodoma naweza kupata wapi?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Chuo cha upishi

    Nitapata wapi chuo cha upishi international nikiwa Dar-es salaam Msaada please!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Clouds TV mnatia aibu!

    star tv bado baba lao ikifatiwa na itv
  5. S

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kama atasoma hapa Mh. Magufuli ahailishe kugombea ubunge jimbo la Chato

    Hii ni kweli na ndio kauli iliyomtoa ANTONY DIALO ilemela mana na aliulizwa barabara ziboleshwe akajibu nyinyi hamna magari barabara za nini?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ni uzalendo au uchumi tumbo na tamaa ya madaraka?

    Membe kigeugeu uyo astahili atakuwa mbunge hana msimamo
  7. S

    JamiiForums Tanzania Basi luxury Mwanza to Dar-es-Salaam

    Mfano basi kama shabiby linalotoka dodoma kwenda Dar ni luxury hadi lina choo ndani. Ndo maana nikauliza basi luxury kwa mtindo huo
  8. S

    JamiiForums Tanzania Basi luxury Mwanza to Dar-es-Salaam

    Mbona mnakuza mambo? Nimewaeleza hali halisi nyie mnaleta judgement zenu!! Hapatani na joto japo sio mara kwa mara na mnavojua safari ya Mwanza-dar ilivo ndefu sasa kisichoeleweka ni nini??
  9. S

    JamiiForums Tanzania Basi luxury Mwanza to Dar-es-Salaam

    Ni ME kama mimi
  10. S

    JamiiForums Tanzania Basi luxury Mwanza to Dar-es-Salaam

    Mh!! We chinembe mambo gani tena hayo? Niko serious kuna rafiki yangu mgerman hapatani na joto kabisa thats why nauliza kama lina AC
  11. S

    JamiiForums Tanzania Basi luxury Mwanza to Dar-es-Salaam

    Lina huduma zipi ndani? Mfano AC, vinywaji au zipi?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Basi luxury Mwanza to Dar-es-Salaam

    Naomba kuuliza ni basi gani zuri ambalo ni luxury la kutoka Mwanza kwenda Dar na nauli yake ni shilingi ngapi, msaada please.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi Mizigo 2014

    Prof. JK uyu mzigo tena haubebeki
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    S.1869/0006/2007 please msaada
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    Ni lazima ada ulipie tawi la bank la chuoni au hata majumbani kwetu?
Back
Top Bottom