Basi luxury Mwanza to Dar-es-Salaam

Basi luxury Mwanza to Dar-es-Salaam

shambagirl

Member
Joined
Sep 17, 2014
Posts
24
Reaction score
1
Naomba kuuliza ni basi gani zuri ambalo ni luxury la kutoka Mwanza kwenda Dar na nauli yake ni shilingi ngapi, msaada please.
 
Dar Lux nadhani ndilo zuri kwa sasa ukishindwa kamata PIPA
 
Mh!! We chinembe mambo gani tena hayo? Niko serious kuna rafiki yangu mgerman hapatani na joto kabisa thats why nauliza kama lina AC
 
Mh!! We chinembe mambo gani tena hayo? Niko serious kuna rafiki yangu mgerman hapatani na joto kabisa thats why nauliza kama lina AC

atoke germany koooote huko ashindwe nauli ya fastjet,kwa taarifa yako hakuna basi lenye AC,labda afungue dirisha,huyo rafiki yako ni KE kwa jinsia?
 
mabasi yote ya dar mwz ni mazuri Ila si luxury Kama mnavyofikiria
 
atoke germany koooote huko ashindwe nauli ya fastjet,kwa taarifa yako hakuna basi lenye AC,labda afungue dirisha,huyo rafiki yako ni KE kwa jinsia?

Wengine kusafiri na bus ni adventure! Unaona vingi kuliko kusafiri na ndege.
 
Mbona mnakuza mambo? Nimewaeleza hali halisi nyie mnaleta judgement zenu!! Hapatani na joto japo sio mara kwa mara na mnavojua safari ya Mwanza-dar ilivo ndefu sasa kisichoeleweka ni nini??
 
Wengine kusafiri na bus ni adventure! Unaona vingi kuliko kusafiri na ndege.

Kama sina haraka na ni safari za hapa ndani, mara nyingi napenda usafiri wa bus. Especially ikiwa sehemu mpya kabisa sijawahi kufika.
 
Back
Top Bottom