Recent content by shalolizo

  1. shalolizo

    Rais Samia tunakuomba utupie jicho kali Utumishi

    Unaweza kuta madai yako hayajapelekwa Utumishi ,,nakushauri fuatilia kwanza kwa mwajiri wako kama amepeleka hizo arrears zako,,,
  2. shalolizo

    Rais Samia tunakuomba utupie jicho kali Utumishi

    Mmm nimesoma ila sijakuelewa kabisa,,mfano barua ya kubadilishwa kada inatolewa na ofisi ya Utumishi wizarani?siyo kwa mwajiri wako?
  3. shalolizo

    Viwango vya mshahara serikalini degree 1

    Mwalimu 716,000 Mwanasheria 950,000 Muuguzi 980,000 Mfamasia 980,000 Daktari 1,480,000 Mhandisi 950,000 Mhasibu 950,000 ukiwa na CPA,,ila ukiwa na degree ni 710,000
  4. shalolizo

    Huu niliofanyiwa sio utapeli?

    Itakuwa na wewe ni wa kutoka kwa mwakyembe...
  5. shalolizo

    CC ndani ya Halmashauri ni idara au kitengo? Wanahusika na nini?

    Umekosea cc hakuna kozi wanayosoma..ni mtu yeyote mwenye degree hasa hizi za sanaa kama sheria.utawala .hr ndo wanaweza kuajiriwa kama Cc
  6. shalolizo

    CC ndani ya Halmashauri ni idara au kitengo? Wanahusika na nini?

    Hawana nguvu kabisa sababu wapo chini ya Mkuu wa idara ya utumishi na utawala..
  7. shalolizo

    CC ndani ya Halmashauri ni idara au kitengo? Wanahusika na nini?

    Cc ni kifupi cha Committee clerk..Halmashauri wapo kwa ajili ya kuandika minutes za vikao..na wala siyo kitengo wala idara ni sehemu ya utawala
  8. shalolizo

    Nafasi za kazi za udereva, Halmashauri ya Kaliua - Tabora

    Mbona heading inasema kabisa ni za mkataba Sent using Jamii Forums mobile app
  9. shalolizo

    Nampenda huyu dada ila wazazi wamemkataa kisa mnyakyusa

    Nakushauri tu wasikilize wazazi,,,mm nipo huku mbeya ninaishi na wanyakyusa KIJANA KAMA UNAUPENDA MOYO WAKO USIJARIBU KUOA MNYAKYUSA,,,kifupi wanawake wa kinyakyusa hajawajatulia wanagongeka sana hata awe mke wa mtu. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. shalolizo

    Walimu waliojiriwa Maswa mwaka 2017 hawajalipwa posho ya kujikimu hadi sasa

    Halmashauri zote zimeshapelekewa fedha za kujikimu za walimu,,mpka wa ajira za 2018 wote wameshalipwa,,huko kwenu wanawajibu tatizo ni nn?
  11. shalolizo

    Wataalamu hivi mwanaume wa Kingoni akioana na mwanamke wa kihaya mtoto wao akizaliwa atakuwaje?

    Hapo umenisema mm,,nimechanganya baba mhaya na mama mngoni,,kwa kweli hii kombination nahisi ndo maaana kila msichana nikimuona namtamani tu,,,vinasaba vya ngono ni vingi sana
  12. shalolizo

    Dhana ya kujifukuzisha kazi(absconding) iko vipi?

    Unajua kwa wahindi taratibu nyingi sana zinakiukwa na wanatumia pesa kuwanyonya,,,kama atakataaa itabidi avunje yeye mkataba na akuwezeshe ukapate mafao yako,,maana hapo naona big ishu ni wewe kupata mafao yako,,,ukiona anakataaa vyote nenda ofisi za kazi ukamfungulie mashtaka Sent using Jamii...
  13. shalolizo

    Dhana ya kujifukuzisha kazi(absconding) iko vipi?

    Ofisini kwenu mnaombana ruhusa kienyeji bila ya kujaza fomu ya ruhusa?kuacha kazi ni haki yako ila kuna notisi mbili,,moja ya masaa ishirini na nne ambayo utalazimika kumlipa mwajiri wako mshahara wa mwezi mmoja,,pili notisi ya mwezi mmoja ambayo utafanya kazi bila kulipwa na wewe hautamlipa...
  14. shalolizo

    Klabu ya Real Madrid inaenda Kufa? Ronaldo kutimkia Juventus

    Madrid hawauzi super stars,,bali wana nunua super stars,,,,ukiona mchezaji anauzwa na madrid ujue matumizi yake yameisha,,,mfano ozil na dimaria
  15. shalolizo

    Hukumu ya Joseph Mbilinyi (Sugu) ni kesho, wanaMbeya wanasema ama zao ama mbunge wao

    Nyapala anamsubilia sugu Kwa hamu sana,,,
Back
Top Bottom