CC ndani ya Halmashauri ni idara au kitengo? Wanahusika na nini?

Yoranda

JF-Expert Member
Jan 9, 2020
341
333
Wakuu habarini,

Nimemsikia mtu akitaja kifupi na ni herufi hizo inaelekea ni kwenye halmashauri wapo hawa watu.

Ni watu, wanaelimu gani? Sifa zao nk kwa mjuzi anisaidie hii kitu.
 
Kaazime kitabu cha darasa la nne/tano cha siasa na maadili utakuta majibu humo humu tunajadili mambo makubwa tu
 
Wakuu habarini,

Nimemsikia mtu akitaja kifupi na ni herufi hizo inaelekea ni kwenye halmashauri wapo hawa watu.

Ni watu, wanaelimu gani? Sifa zao nk kwa mjuzi anisaidie hii kitu.
Cc ni mtumishi ndani ya idara ya utumishi anaye deal na uchukuaji wa dondoo za vikao
 
Cc ni kifupi cha Committee clerk..Halmashauri wapo kwa ajili ya kuandika minutes za vikao..na wala siyo kitengo wala idara ni sehemu ya utawala
Swali, je wananguvu ndani ya idara ya utawala, ku rule out issues ndani ya mamlaka ya hiyo ya serikali za mitaa, kwa kuwa umesema ni sehemu ya utawala.
 
Hawana nguvu kabisa sababu wapo chini ya Mkuu wa idara ya utumishi na utawala..
Swali, je wananguvu ndani ya idara ya utawala, ku rule out issues ndani ya mamlaka ya hiyo ya serikali za mitaa, kwa kuwa umesema ni sehemu ya utawala.
 
Umekosea cc hakuna kozi wanayosoma..ni mtu yeyote mwenye degree hasa hizi za sanaa kama sheria.utawala .hr ndo wanaweza kuajiriwa kama Cc
Hombolo, chuo cha utumishi Magogoni, Sdg, Tabora na Lushoto kama sikosei
 
Back
Top Bottom