Recent content by shaks001

  1. shaks001

    Juma Nkamia ampinga Rais Magufuli kuhusu miaka 7 ya Urais

    "Nenda kawaambie,nachukizwa na mijadala inayoendelea ya kutaka niongezewe muda wa kukaa madarakani"-JPM
  2. shaks001

    Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar: Rais Mohamed Shein, awasamehe Wanafunzi 12 wa vyuo vya Mafunzo vya Unguja na Pemba

    Inawezekana cha kwako kizito zaidi,nimeuliza kama wafungwa wanaitwa wanafunzi,na wanafunzi wanaitwa vipi!Sasa hapo ugumu wa kuelewa upo wapi?
  3. shaks001

    Channel Ten hamna kabisa habari za michezo, badilikeni

    Jana nilibahatika kutazama habari za michezo kupitia channel hii ya televisheni. Nilijiuliza maswali mengi sana, hivi hawa ripota wa habari za michezo waliopo huko mikoani na hata hapa Dar hawana habari za michezo kabisa za kuripoti? Jana ripota kutoka mkoani Rukwa anaripoti taarifa ya...
  4. shaks001

    Kwanini benki hakuna vyoo/maliwato kwa ajili ya wateja?

    Benki wanauza chakula mpaka ukifika pale uwekewe na huduma ya kukata gogo?Ukiona tumbo lako haliko vizuri,tulia nyumbani kwanza mpaka mambo yawe sawa.
  5. shaks001

    TV kutozwa faini: Kituo cha habari kikirusha habari inayopingana na Serikali kinaadhibiwa? Hii sio haki kabisa!

    Mtanzania akipata ugali wake na dagaa kwa siku,inatosha!Hana haja ya kufuatilia hayo mambo.Ni waoga aisee!
  6. shaks001

    Harmorapa akiri kwenda kwa mganga wa kienyeji kisa penzi la Wema Sepetu

    Shida zote hizo za nini?Tafuta pesa tu ndio dawa ya kweli.
  7. shaks001

    Umri Elekezi wa Mastaa wote Wa Bongo..!

    Joti anagonga 40 mwaka huu au mwakani,usiniulize kwa nini. Source:Mimi mwenyewe.
  8. shaks001

    Ni aibu sana kwa mwanaume kushindwa kumiliki gari

    Ukute unajisifu hivyo halafu mwisho wa mwezi unakimbizana na mwenye nyumba.
  9. shaks001

    Nimeoneshwa maono kuwa babu Seya anaachiwa huru

    Tujaribu kuwa na hifadhi ya maneno Mkuu.
  10. shaks001

    Mwenzenu nimeukata!

    Nilivyosoma hiyo title nilijua kuwa umeukata 'mkono wa sweta'.
  11. shaks001

    Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti international Airport? Kagera inaonewa sana

    Suluhisho hapo ni kujitenga kama wanayofanya wenzenu wa Catalunya.
  12. shaks001

    Harusi ya Joti Katika Kanisa Katoliki Magomeni

    Kama sikosei joti sasa hivi hakosi kuwa na miaka 39 au 40 maana tumekuwa pamoja na mimi nina 39 now.
Back
Top Bottom