Kwa miaka mingi wagombea kadhaa wamekua wakiahidi kuijenga barabara ya hombolo kwa kiwango cha lami lakini mpaka leo hakuna hata kipande cha 1om kilichoonesha hata dalili ya kuanza.
Ahadi tangu enzi za sagafu,madeje,malole mpaka huyu mavunde wote ahadi tu ilhali Hombolo ina kila sababu ya...
Imepita miaka kibao wakazi tunaotumia hii barabara tumekua tukidanganywa juu ya ujenzi wake kwa kiwango cha lami mpaka tumechoka,tangu enzi za mbunge madeje mpaka huyu mavunde kila awamu wameitumia kuombea kura lakini matokeo yake wanaishia kupitisha greda na kumwaga vimaji...baada ya wiki mbili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.