Recent content by Shagiguku

  1. Shagiguku

    JamiiForums Tanzania KERO Latra Kigamboni Feri wanapandisha nauli ikifika mida ya giza

    Usafiri wa daladala kwa sisi wakazi wa kigamboni ni kero na shida kubwa. 1. Giza likiingia nauli zinapandishwa juu; Zinakuwa tofauti na zile elekezi za serikali. 2. Jioni daladala zinafanya kazi kwa kujisikia saana. Konda awapakize ama awaache kwanza mgombanie daladala. Kisha akiamua ndo...
  2. Shagiguku

    JamiiForums Tanzania Peps take away za Singida zina ujazo pungufu

    Kwa nini soda (Peps Take Away) za Singida hazijai inavotakiwa!?? Yaani zipo PUNGUFU kwenye ujazo wake...
  3. Shagiguku

    JamiiForums Tanzania TBS na TMDA mikate ya maziwa ina ubora na viwango stahiki kuliwa na binadamu?

    Hello wananzengo wa Tanzania popote mlipo duniani. Nautupia huu uzi humu ili tuujadili kwa pamoja. Kumeibuka wimbi la "Mikate ya Maziwa" hapa nchini. Kila sehemu ipo inauzwa. Maswali yangu machache kwa mamlaka za udhibiti ubora (TMDA na TBS) ni haya: 1. Je, tuna taarifa za kutosha juu ya...
  4. Shagiguku

    JamiiForums Tanzania GE2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

    Weye naona umebanwa kunya, kanye kisha uchambe na maji ya baridi. Hivi Membe nawe unaweza kumfikiria kuwa rais wa TAnzania katika enzi hizi za Magufuli. Hata nusu ya Magufuli hafuati
  5. Shagiguku

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azungumzia sauti za viongozi waliomteta. Awataja January Makamba na Ngeleja, awasamehe

    Huna jipya, tembea mbele kale chapati
  6. Shagiguku

    JamiiForums Tanzania Ningependa Tundu Lissu apokelewe hivi

    Naunga mkono hoja, tena napenda kuongezeapo kidogo tu ili kunogesha mapokezi ya "MFALUME TINDIKALI SULI" 1. Siku hiyo itangazwe kuwa ni ya mapumziko. 2. Wananchi wote wapenda amani tutangaziwe kubaki majumbani. 3. Serikali iwaandae vijana wake wa JESHI LA POLISI na wale waliopo kwenye mafunzo...
  7. Shagiguku

    JamiiForums Tanzania Toka lini TAKUKURU wanatembea na SMG na AK47 na bila vitambulisho?

    Hivi hakuna mwanaNzengo hata mmoja aliyebahatika kupiga picha za video au mnato hao wakamataji wa nyalandu ili tuone hizo SMG na AK47......???? Yaaani yanavyokuzwaaaaa......!!! Teheeee teheee teheee....!!!! Najaribu kujiwazia kwa sauti tu mwanaNzengo miye
  8. Shagiguku

    JamiiForums Tanzania Toka lini TAKUKURU wanatembea na SMG na AK47 na bila vitambulisho?

    Hivi hakuna mwanaNzengo hata mmoja aliyebahatika kupiga picha za video au mnato hao wakamataji wa nyalandu ili tuone hizo SMG na AK47......???? Yaaani yanavyokuzwaaaaa......!!! Teheeee teheee teheee....!!!! Najaribu kujiwazia kwa sauti tu mwanaNzengo miye
  9. Shagiguku

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwana JF, Kennedy Lufulondama afariki dunia

    Ndugu zangu wananzengo wenzangu wa Tanzania, na hususani wana JF tumepatwa na msiba. Mwana-Jamii Forum mwenzetu kennedy lufulondama hatukonaye tena duniani. Amefariki jana majira ya saa 1:00 jioni. Taratibu za maziko zinaandaliwa huko Mkula Simiyu.
  10. Shagiguku

    JamiiForums Tanzania Mwanza, nina kadi moja ya bure kwa ajili ya kuhudhulia show ya Paul Clement

    Nipatie miye hiyo kadi, nipo buswelu +255758380076 Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Shagiguku

    JamiiForums Tanzania Vitisho kwa Maafisa wa Elimu.....!

    Ndugu zangu wanaNzengo wa Tanzania popote pale mlipo duniani habari zenu.....!!!!? Ama baaada ya salaaamu, napenda nishirikishane na ninyi mambo machache hapa kupitia kipande hiki kidogo cha video. Katika hii picha ya video anaonekana na kusikika mtu mmoja akiongea na maafisa elimu (sina...
  12. Shagiguku

    JamiiForums Tanzania Nakerwa na masharti ya kuingia hospitali ya Bugando

    MwanaNzengo ili usikereke ACHA kwenda hospitali ya rufaaa ya Bugando. Vinginevyo anzisha hospitali yako ya bugando ambayo haitakuwa na utaratibu huo unaokukera! Period....!
  13. Shagiguku

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Tetemeko la ardhi limetokea, Askari mmoja apoteza maisha

    Kama hujui kuripoti au kutoa taaaaarifa kwenye mitandao ya kijamiii bora usiwe unapost tu! Hueleweki.....!
  14. Shagiguku

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Anayetafuta ama anayetaka king'amuzi cha startimes tafadhari anitafute in-bobo! nitampatia buReeeee kabisa, nina miaka kama minne hivi sikitumii nimekifungia tu kwenye boksi. Tido Mhando alinihamasisha na kuniaminisha kuwa baada ya muda mfupi startimes kitakuwa king'amzi bora chenye channel za...
Back
Top Bottom