Recent content by Shadrack K. Lwila

  1. Shadrack K. Lwila

    Sitaki Ualimu, nimechoka naombeni ushauri

    [emoji23][emoji23][emoji23]Huu uzi Ungekua Batili Nisingemuona mpwayungu village
  2. Shadrack K. Lwila

    GPA kubwa now hazina umuhimu sana

    Elimu yenyewe yasikuhizi Magumashi sana Ajira Hakuna, Tunasoma Kupunguza UJINGA kichwani Hayo ma-GPA yatakusaidia nini? We kaza Fuvu Kusoma hili upate GPA za kuringishia mtaani.
  3. Shadrack K. Lwila

    True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

    Hii ndo simulizi ya kijinga kuwahi kuifatilia apa JF
  4. Shadrack K. Lwila

    Ni kwanini katika Maombi uwa hatutaji majina yetu

    Sawa mkuu shukrani, Apo kwenye kuomba kazi mfano serikarini na wakati kusudi la Mungu ni uwe mfugaji. Ndo kimbembe. Ila hapo Tuombe "mapenzi yako kwangu Yatimizwe iwe vile upendavyo/utakavyo"
  5. Shadrack K. Lwila

    Ni kwanini katika Maombi uwa hatutaji majina yetu

    Huu ni mjadara na swali limeulizwa, Ni hekima kama ungelijibu au ungepita tu bila kujibu..
  6. Shadrack K. Lwila

    Ni kwanini katika Maombi uwa hatutaji majina yetu

    Ahaa sawa nimekupata mkuu, Ila yamkini pia Maombi yako hayapo kabisa kwenye historia ya biblia labda unaomba kazi, ama unaomba kufauru mtihani unaweza ukaomba huku uki-emphasize vipi??
  7. Shadrack K. Lwila

    Ni kwanini katika Maombi uwa hatutaji majina yetu

    Hapana, maombi ya sasa hayana kafara kama za zamani Ni maombi tu yakawaida na sadaka zetu sidhani kama uwa zinapiga kelele masikioni mwa Mungu kabisaa, sababu wengi hawatoi kwa Moyo wa kupenda na wengine hutoa hili waonekane kwa watu.
  8. Shadrack K. Lwila

    Ni kwanini katika Maombi uwa hatutaji majina yetu

    Mkuu, Kwaiyo lengo la kuwataja hao Watu tajwa ni ku-direct hili usikosee Mungu unayemwomba??
  9. Shadrack K. Lwila

    Ni kwanini katika Maombi uwa hatutaji majina yetu

    Unakuta kwa Daniel Alijifunua na akayafunga Makanwa ya Simba kwenye Tundu la simba wenye njaa, na wewe yamkini unasema Ajifunue kwako na unataka mtoto??? Mbona ni cases mbili tofauti??
  10. Shadrack K. Lwila

    Ni kwanini katika Maombi uwa hatutaji majina yetu

    Kama kila mtu ana Mungu wake kwanini unapoomba uwa una-emphasize Mungu wa fulani na fulani?? Ina maana Mungu wako humwamini?
  11. Shadrack K. Lwila

    Ni kwanini katika Maombi uwa hatutaji majina yetu

    Mkuu nashukuru sana kwa kunipa mwangaza, Apa nafikiri naanza kuelewa. Kumbe yamkini uwa tuna-emphasize Mungu wa Fulani kumbe sio Mungu wa kweli Muumba mbingi na nchi. Barikiwa mkuu
Back
Top Bottom