Ni kwanini katika Maombi uwa hatutaji majina yetu

Ni kwanini katika Maombi uwa hatutaji majina yetu

Hakuna maombi ya kazi wala mpenyo Wala kiwanja!
Maombi ni:
1. Toba & rehema
2. Shukrani
3. Uhusiano halisi na Mungu aliyekuumba
4. MUNGU akufanye kama alivyokuumba kabla hujatia najisi.

Kazi, viwanja, Kodi MUNGU atavileta ikiwa ni mpango wake kwako. ..
Vipi ukiomba kazi wkt MUNGU alikuumba mfugaji?
Sawa mkuu shukrani,

Apo kwenye kuomba kazi mfano serikarini na wakati kusudi la Mungu ni uwe mfugaji. Ndo kimbembe.

Ila hapo Tuombe "mapenzi yako kwangu Yatimizwe iwe vile upendavyo/utakavyo"
 
Salaam kwenu Wanajukwaa,

Imezoeleka ama sijui ni utamaduni ama sifahamu kama ndivyo tulivyokariri, Wakristo wengi Tunapokua Tunaomba Uwa Tunaomba hivi, Huu ni Mfano wa Maombi yangu "Mungu Wa israel, Mungu wa yakobo, Mungu Wa ibrahimu, Mungu wa eliya Nakuomba unisaidie katika jambo hili, unisaidie kama ulivyowasaidia kina sharack, meshack na abedinego na kuwaokoa kwenye tanuru la moto"

Huo ni mfano tu wa jinsi ambavyo nimekariri namna ya kuomba, yakwamba kama nataka ku-emphasize kuwa Mungu anisaidie lazima nipite humo kwenye hayo majina Tajwa hapo juu.

Swali langu ni....?
Ni kwanini hatuwezi kusema Mungu wa Mshana Jr au Mungu wa Kapeace au Mungu wa dronedrake au Mungu wa Nakadori ???[emoji2955][emoji2955] kwasababu kama ni sababu ni kuwa Hao kina Yakobo, ibrahimu, isaka, eliya nk. Kuwa-emphasized ni kwasababu Mungu aliwaonekania. Mbona ata mimi Mungu ananionekania pia katika maisha yangu?? Au hili swala limekaaje labda??[emoji2955][emoji2955]

Anyway humu tuko wengi na wenye akili kubwa, wenye uwezo mkubwa wa kufikiri kuliko platform Yoyote ile apa Tanzania na nchi nyingine nyingi sana, natumai Nitapata majibu.

Naomba kuwasilisha
Tazama wewe ni Bwana... Mungu wa vyote vyenye mwili....!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom