Natafuta pesa
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 287
- 396
- Thread starter
- #41
MnooooWanakera sana
MnooooWanakera sana
Kuepusha lawama mkuu,,,, si unajua family zetu za kiafrika,,,Kama umentumia first time ajasema asante second time unatuma ya nini
Sidhani ni tabia ya mtu binafsi,,, hata kama siyo msukumaHuyo atakuwa Msukuma bila shaka.
YeahKuepusha lawama mkuu,,,, si unajua family zetu za kiafrika,,,
Inakatisha tamaaa,, sema ndiyo hivyo kama ulivyosema unakuta ni bloodlaiti isingekua mwanangu lingeisoma namba.. halibadilikagi! Sema ndo namkomoa nan sasa na dogo ana mahitaji
Kumbe inakera wengi
SanaaaKushukuru muhimu.
Haisaidii atakwambia simu ilikua mbaliKama ni mwanamke anatabia hiyo zikipota dakika tano hajasema chochote ivute,rudisha muhamala na wewe kausha
NakubariWe tafuta pesa tu mkuu
Me ata sihitaji shukran, kusema tu imefika mpaka uulize, usipouliza imepita till next timeInakatisha tamaaa,, sema ndiyo hivyo kama ulivyosema unakuta ni blood
Atakwambia saa ngapi na wewe hapo utakuwa umekausha tu hupokei simu zakeHaisaidii atakwambia simu ilikua mbali
Umeona eehHasa wanawake aisee nakerekaga sana mi sihitaji shukrani nahitaji umepokea unaweza acha hela kwa wakala halafu isiende
ChiefUjue nini!
Huwa wanaomba kwa watu wengi, so ukimtumia kwa wakala hajui nani katuma kati ya aliowapiga mizinga.
Ila ukiona umemtumia mtu kwa namba yako na hakupi mrejesho, hiyo ni tatizo nyingine.