Recent content by Shadida Salum

  1. Shadida Salum

    Historia: Maldini na kizazi chake ndani ya AC Milan

    Mwezi feb 1932 katika eneo la milan italia alizaliwa Casare Maldini, career yake ilikua ni kusakata kabumbu ambapo alicheza nafasi ya ulinzi . Mwaka 1954- 1966 alichezea club ya AC Milan akicheza michezo 347. Mnamo mwaka 1967 alitundika daruga. . Mwaka mmoja baadae hii ilikua ni 1968 akazaliwa...
  2. Shadida Salum

    Kumbukizi: Ajali ya Ndege iliyoua wachezaji 8 wa Manchester United

    Ilikuwa Februari, 6, 1958, Timu ya Manchester United ilikuwa ikitokea Belgrade, kucheza na timu ya Red Star. Manchester ilikuwa chini ya Kocha Matt Busby; wachezaji wake walijulikana kama "Busby Babes". Sare ya 3-3 waliyoipata kwenye mchezo huo iliifanya Manchester United kutinga nusu fainali...
  3. Shadida Salum

    Fainali ya UEFA kati ya Man city dhidi ya Chelsea kupigwa Ureno

    Mchezo wa fainali ya kuwania Kombe la Klabu Bingwa Ulaya kati ya Manchester City na Chelsea utahamishiwa Ureno kutokana na UEFA na Serikali ya Uingereza kutofikia muafaka wa mchezo huo kuchezwa Wembley - UEFA ililazimika kutafuta uwanja mbadala kutokana na mlipuko wa ugonjwa #COVID19 katika nchi...
  4. Shadida Salum

    Sajili za Wachezaji zilizotamba sana lakini zikadunda

    Imekuwa ni utamaduni wa kawaida kwa vilabu vya Mpira wa miguu Ulimwenguni kufanya usaliji (kununua Wachezaji) pindi madirisha ya usajili yanapofunguliwa. Katika harakati hizo kuna baadhi ya Wachezaji ambao sajili zao huwa na mbwembwe nyingi na kuibua taharuki kwa Mashabiki lakini kwa bahati...
  5. Shadida Salum

    Ligi ya Europa: Mbivu na mbichi za fainali kujulikana leo

    Michezo miwili ya nusu fainali ya Europa kurindima hii leo majira ya saa 4:00 usiku katika viwanja viwili tofauti ,ambapo Roma itakuwa nyumbani kuialika Manchester United huku Arsenal ikiikaribisha Villarreal Ili Roma kutinga fainali inatakiwa kushinda goli 4-0 Kwingineko Arsenal inahitaji...
  6. Shadida Salum

    Kufuzu Kombe la Dunia (WCQ) 2022: Uganda yaomba kutumia Uwanja wa Mkapa kama Uwanja wa nyumbani

    Timu ya Taifa ya Uganda inatarajiwa kutumia Uwanja wa Taifa wa Tanzania kama uwanja wao wa nyumbani kwenye michuano ya kufuzu Kombe la Dunia la 2022. Shirikisho la Soka Uganda (FUFA) limelijulisha Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) juu ya msaada wanaohitaji wa kutumia Uwanja wa Mkapa kama uwanja...
  7. Shadida Salum

    Klabu bingwa Ulaya: Je, Barcelona itafanikiwa kupindua matokeo?

    Baada ya kupokea kichapo kizito cha goli 4-1 kutoka kwa PSG katika Dimba la Camp Nou, Barcelona leo inatupa tena karata yake ya pili kuvaana na PSG ikiwa nyumbani katika uwanja wa Parc des Princes. Huu ni mchezo wa marudiano wa hatua ya mtoano ambapo katika mchezo wa kwanza Kylian Mbappè...
  8. Shadida Salum

    CAF yafuta michuano ya Afcon U-17

    Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF limefuta mashindano ya fainali za Afcon kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 Mashindano hayo ambayo yalikuwa yafanyikie Morocco yalitarajiwa kuanza Machi 13 Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania vijana chini ya miaka 17 tayari kipo Morocco na...
  9. Shadida Salum

    Klabu bingwa Afrika: Simba ugenini kuchuana na Al Merrekh

    Al Merrekh watawakaribisha wababe wa Msimbazi katika Dimba la Al Hilal huko Khartoum saa kumi jioni, katika mchezo huo Wasudan watatafuta kupata ushindi wao wa kwanza katika hatua ya makundi ya mashindano hayo Al Merrikh watawakaribisha Simba SC ambao wameshinda michezo yote miwili ya...
  10. Shadida Salum

    Ligi kuu Tanzania: Yanga SC kukabiliana na Coastal union uwanja wa Mkwakwani

    Baada ushindi wa goli 3-0 wa Yanga SC dhidi ya klabu ya Coastal Union katika mchezo wao wa mwisho uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa Oktoba 30, 2020, leo vijana wa Jangwani watakipiga na Coastal Union katika uwanja wa Mkwakwani Kuelekea mchezo huo takwimu zinaibeba Coastal union maarufu Wagosi...
  11. Shadida Salum

    Afcon U-17: Serengeti boys kukipiga dhidi ya Nigeria

    Timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys inatarajiwa kusafiri kuelekea nchini Morocco kwa ajili ya fainali za AFCON U-17 Serengeti Boys inayoiwakilisha Tanzania, katika mchezo wa kwanza itakipiga dhidi ya Nigeria siku ya tarehe 14 mwezi huu Tanzania ipo Kundi B pamoja na timu...
  12. Shadida Salum

    Ligi ya Mabingwa Afrika: Mamelodi Sandowns yang'ara kwa Mkapa, Yaipiga CR Belouizdad goli 5 kwa 1

    Michezo miwili ya Klabu bingwa Afrika itapigwa hii leo . Mchezo wa kwanza ni wa kundi B ambao utaikutanisha CR Belouizdad dhidi ya Mamelodi Sundowns katika Dimba la Benjamin Mkapa majira ya saa kumi kwa saa za Afrika Mashariki. Katika mchezo huo watazamaji hawatoruhusiwa kuingia uwanjani...
  13. Shadida Salum

    Ligi Kuu England kuendelea leo: Chelsea kuumana na Manchester united

    Ligi kuu England inaendelea leo katika viwanja mbalimbali ambapo mchezo wa awali Crystal palace atakipiga dhidi ya Fulham saa tisa jioni. Leicester city ambayo inashika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi hiyo itakutana na Arsenal ambayo inashika nafasi ya kumi na moja. Na huko katika Dimba...
  14. Shadida Salum

    Ligi ya Europa: Manchester United kuvaana na AC Milan

    Manchester United itacheza na washindi mara saba wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, AC Milan katika hatua ya 16 bora ya Ligi ya Europa. AC Milan, ambayo inashika nafasi ya pili katika Serie A, bado haijawahi kushinda mashindano ya Europa, wakati ushindi pekee wa United ulikuwa mnamo 2017. Arsenal...
  15. Shadida Salum

    Kikosi cha Taifa stars chatangazwa

    Kikosi cha Taifa stars kitachocheza michezo miwili ya kirafiki na Kenya tarehe 15 na 18 mwezi Machi. Mchezo wa kwanza wa kirafiki hautohusisha wachezaji wa Simba kwakuwa watakuwa na mchezo wa Klabu bingwa tarehe 16. Baada ya kumaliza mchezo huo watakwenda moja kwa moja mpaka Nairobi kwa ajili...
Back
Top Bottom