Recent content by sha

  1. S

    Ni kweli kwamba papa ni freemason?

    Yesu Kristo hakuacha dini hapa duniani,kumbuka enzi zake hapa duniani dini zilikuwepo ie mafarisayo,masadukayo na waandishi. Yesu aliacha kanisa takatifu ( lililookoka ),Petro na wanafunzi wengi sio wale thenashara tu wanaofahamika na dini walikuwa ni watu WALIOOKOKA wakijaa Roho Mtakatifu...
  2. S

    CHADEMA: Lowassa mshindi kwa asilimia 61

    <br> <p style="margin-top: 1em; margin-bottom: 1em; color: rgb(102, 102, 102); font-family: helvetica, arial, sans-serif; font-size: 12px; line-height: 16.08px;">I confidently and proudly insisted that KANU would win and I forgot that the willing of the decision makers can surpass my Political...
  3. S

    CHADEMA: Lowassa mshindi kwa asilimia 61

    I confidently and proudly insisted that KANU would win and I forgot that the willing of the decision makers can surpass my Political Professorial Position. I am hereby therefore, calling upon my friends those who are in power as well as those with utopian point of view; They should crystal clear...
  4. S

    CHADEMA: Adui yetu ni CCM, sio mtu wala sio umaskini

    aidha una mtikisiko wa ubongo au sijui ni kundi gani sijui ,,maana huwezi hata kuona tu kwa macho licha ya kufikiria,hao wanaoshikwa na kuhojiwa na takukuru ktk kura za uteuzi ccm ni usafi??????????????!!!!!!!! unatisha kwa upofu uliopofushwa na rushwa.
  5. S

    Watanzania hawasikii, hawaelimiki wala kufundishika

    Mpendwa mkuu Kinjekitile naona kama umejipanga tu ku challange in all cases, katoa mawazo yake, kwa nini na wewe usitoe lako ???? au wewe unaona mambo yako sawa???? Basi angalia IQ world listing , utaona kuwa Tanzania ni ya pili from the least baada ya Sudan. Wewe unakubali nchi hii ni...
  6. S

    Niliokoka baada ya kusikiliza Kwaya ya Makongoro na Uliyankulu!

    mahali mtu anapokula na kushiba hawezi kupaacha, ukiona mtu anapakimbia ujue hashibi, wahubiri wengi ambao wameshindwa wenyewe kuishi maisha ya kikristo ndio wenye kushikilia na kuhubiri "shika sana ulicho nacho asije adui akakunyang'anya, usitangetange" ni uongo wenye lengo moja tu! Wao ni...
  7. S

    Is God fair ?

    very fair, kama kuna mdemocrasia, hakuna kama umungu amekupa uhuru wote wa kuchagua, la msingi tubu dhambi zako kwa kumaanisha kuacha ,kisha mpokee yesu awe bwana na kiongoizi wa maisha yako,atakupa uweza wa kuweza yote, usihangaike hata bila hiv kumbuka bado siku moja ungekufa tu,hivyo muhimu...
  8. S

    Mungu ilaze mahali pema peponi roho ya marehemu, hii ni sala au kanuni

    nafasi hiyo mnaipata kwa mamlaka ya nani??? Kwa maandiko gani??? Je mpaka leo hamjagundua sababu ya ninyi kufundishwa hivyo????! Neno la mungu linasema wazi" baada ya kifo hukumu".
  9. S

    Watanzania kuanza kutumia gesi kuendeshea magari

    mbona unatoa fikra ya kushindwa tu na sio kuweza?????????????!!!!!!!!!!! THINK POSITIVELY. GOD BLESS YOU.
  10. S

    Wanawake wafanyakazi ndivyo walivyo katika ndoa?

    mimi sio wa dini hiyo hivyo sheria na maudhui ya ndoa za kiislam siyajui, lakini kwa wakristo ndoa inawaunganisha wawili kuwa mmoja ,hivyo ni kosa/ dhambi mwanamke kufanya hivyo.
  11. S

    Hivi unajua kuna koo zilizojaaliwa umasikini??

    KIFUPI KABISA, HANA HAJA YA KUMKIMBIA MKEWE,AJE MAHALI SAHIHI PA KUIVUNJA LAANA HIYO, NJOO FGBF (kwa kakobe) UTAFUNDISHWA TOBA YA KWELI KWAKO BINAFSI NA UKOO WAKO WOTE, NAWE UTAFUNGUKA NA UKOO WAKO WOTE.
  12. S

    Tumeokoka kwa neema,naomba majibu

    MUNGU HAPENDI MTU HATA MMOJA APOTEE BALI AFIKILIE TOBA, MUNGU AKIKUPA MAISHA MAREFU ANAKUSUDIA UOKOKE.je wewe ni mkristo? UNAJUA HABARI YA ULE MTINI???? ( A FIG TREE??).
  13. S

    Tumeokoka kwa neema,naomba majibu

    MUNGU HAPENDI MTU HATA MMOJA APOTEE BALI AFIKILIE TOBA, MUNGU AKIKUPA MAISHA MAREFU ANAKUSUDIA UOKOKE.je wewe ni mkristo? UNAJUA HABARI YA ULE MTINI???? ( A FIG TREE).
Back
Top Bottom