Ccm sasa ni safi kabisa uchafu wote umeondoka Lowasa ndiyo alikuwa mchafu balaa.
hata km itafika mwaka wa 100 kama ANC CCM haina itikadi ya kila mtu awe tajiri km Reginald MengiMwaka wa 52 huu ndani ya ccm ufisadi umepungua au umeongezeka ukiweza kunijibu hili bila.unafiki najinyonga.
Tulia Dawa Iingie VizuriKatika hali isiyotarajiwa chama cha demokrasia na maendeleo kimekula matapishi yake baada ya kuanza kukana kauli zake ambazo ndio zimekijenga chama hicho miaka mingi sasa.
Kauli za kustua wengi hivi sasa ni pamoja na kusema kwamba wao wanapambana na CCM waitoe madarakani na sio wimbi la umasikini wa kipato unaomkabili mtanzania na kwamba sio watu kama Lowassa.
Kwamba Lowassa ni msafi na hana chembe ya doa.
Ndugu mtanzania. CHADEMA ni janga
Katika hali isiyotarajiwa chama cha demokrasia na maendeleo kimekula matapishi yake baada ya kuanza kukana kauli zake ambazo ndio zimekijenga chama hicho miaka mingi sasa.

unajua maana ya jangaChadema ni janga

Na hapo hawajachukua dola, yanagonga chupi.Katika hali isiyotarajiwa chama cha demokrasia na maendeleo kimekula matapishi yake baada ya kuanza kukana kauli zake ambazo ndio zimekijenga chama hicho miaka mingi sasa.
Kauli za kustua wengi hivi sasa ni pamoja na kusema kwamba wao wanapambana na CCM waitoe madarakani na sio wimbi la umasikini wa kipato unaomkabili mtanzania na kwamba sio watu kama Lowassa.
Kwamba Lowassa ni msafi na hana chembe ya doa.
Ndugu mtanzania. CHADEMA ni janga
Katika hali isiyotarajiwa chama cha demokrasia na maendeleo kimekula matapishi yake baada ya kuanza kukana kauli zake ambazo ndio zimekijenga chama hicho miaka mingi sasa.
Kauli za kustua wengi hivi sasa ni pamoja na kusema kwamba wao wanapambana na CCM waitoe madarakani na sio wimbi la umasikini wa kipato unaomkabili mtanzania na kwamba sio watu kama Lowassa.
Kwamba Lowassa ni msafi na hana chembe ya doa.
Ndugu mtanzania. CHADEMA ni janga
Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi sana lakini watanzania bado ni masikini sana.
Kama alivyo sema Mwl Nyerere,kuwa ili nchi iendelee inahitaji watu,ardhi,siasa safi na uongozi bora.Ardhi tunayo,tena kubwa sana, watu pia tunao,tena wanaongezeka kila siku.
Siasa zetu bado zimeshindwa kutoa mwanya wa uongozi bora kwa sababu ya Ufisadi.Ufisadi umetawala kwenye siasa mpaka kwenye uongozi wa nchi.
Ufisadi haufanywi na chama bali wanachama wa chama husika.
CCM kama chama tawala kimeulea huu ufisadi na mpaka kinaonekana kuwa ni chama cha kifisadi.
Lakini kiukweli ufisadi wa CCM sio ufisadi wa taasisi bali viongozi wa taasisi.Ikitokea siku viongozi wa juu wa CCM waka amua kuwajibishana,CCM hakitakuwa chama cha kifisadi.
CHADEMA ni chama kinachojitahidi kupambana sana na UFISADI.Hata hapa si tu chama kinapinga ufisadi ila viongozi wa CHADEMA ndio haswaa walikuwa/wamekuwa wakali kwenye mambo ya kifisadi.
Ikitokea siku viongozi wa CHADEMA waka acha kupambana na ufisadi kwa sababu yeyote ile ikiwemo kukosa ushahidi wa kwendea mahakani na kurelux,CHADEMA kitakosa kuwa kinara wa kupinga UFISADI bali kitakuwa chama cha KIFISADI.
Hivyo ufisadi au usafi wa viongozi wa vyama vya siasa ndio unaleta picha ya chama fula kuwa cha kifisadi au la!
Hivyo ndugu zangu,naomba tuelewe kuwa adui mkubwa wa nchi hii ni ufisadi wa viongozi na sio chama flani na sisemi hivyo kujipendekeza CCM,la hasha! Nasema hivi nikiwa namsubiri Dr Slaa ajiunge na mwendelezo wa harakati za kuwaondoa viongozi mafisadi kupitia UKAWA.
Kwa sasa nina shauku kubwa ya kumsikia Dr Slaa kuliko mwanasiasa mwingine including Mh.Tundu Lissu,mbunge wangu!