Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,763
- 145,547
Ingekuwa ni kweli kuwa mavi ni sehemu ya Asili kama unavyodai, basi hata msumali mmoja ni sehemu ya dirisha, so unataka tuite huo msumali ni dirisha?
Hatuhitaji kurudia tafsiri ya neno ASILI.
Anaita sasa!
Kwa joyo mali si sehemu ya asili na wala msumali si sehemu ya dirisha?