Karibu mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi na NEC amesema Chama Cha CCM kitanunua Kila goli Kwa ng'ombe mmoja jike au dume. Hivyo tutarajie uwepo wa magoli
[emoji1][emoji1]
Kama ni kweli basi ni unyama sana. Sioni shida Kwa kwenda huko na marehemu ila masikitiki yangu ni Kwa ndugu waliokalishwa kumsubiri dereva amalize kuangalia Mpira ndipo waendelee na safari. Au usikute dereva na ndugu hao walikubaliana na wote walienda kuangalia mpira ila mleta mada kaamua tu...
Siyo mzito,shida yake ipo kwenye kujiweka kwenye maeneo ya ufungaji, kumsoma mwenzake akiwa na mpira na kunusa mipira inayozagaa golini Kwa adui. Amekuwa muhangaikaji zaidi kuliko uchu wa magoli. Apewe muda mana energy yake Bado ni kubwa kwenye timu yetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.