Recent content by setebe2

  1. S

    JamiiForums Tanzania TRA someni hapa: EFD zenu WIZI MTUPU

    Acheni visingizio, tulipe kodi. Tumeshavuna sana kwenye biashara pasipo kulipa kodi halali ya serikali. Tuache visingizio na vijihesabu vya uongo.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tamko la TRA Kwa Wafanyabiashara Wote wanaogoma Kuhusu Mashine za EFD

    EFD ndiyo kiboko yao. Wamezoea kutolipa kodi halafu sisi wafanya kazi ndiyo tunawalipia wao kila mwezi.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ni mwana CHADEMA gani atakayesimama kifua mbele kusherehekea matokeo haya?

    Ahadi za kijingajinga za kutaka kuruhusu gongo, viwanda nchi nzima ndani ya mwaka mmoja ni upuuzi ambao watanzania werevu wanajua kuwa ni uongo hata kama watakushangilia.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Gari la CCM limekamatwa likiwa na mapanga na mashoka

    Weka picha tuone, acha kutengeneza tension za kijinga.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Channel 10 Live: Jenerali on Monday

    Niliamua kubadilisha channel. Hana ufahamu wa kutosha kuhusu masuala mapana ya kile anachokizungumzia. Ila ninachokumbuka kuhusu yeye ni kwamba alikuwa Msanii wa kundi la KAOLE.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi anapogeuka Bosi wa Walimu wake-HAZINA

    Lipi la kushangaza? Hata Rais amewaacha waalim wake na yeye kufikia nafasi ya juu kiuongozi.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ninachokijua Kuhusu Maisha Binafsi Ya Freeman Mbowe.

    Kwani wasemaji wa CDM wamepewa mamlaka ya kuzungumza ya chumbani ya maboc wao?
  8. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi wilayani Handeni. Nataka kwenda Mkoa wa DSM.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mke wa Henry kILEWO(cHADEMA)Awapa SOMO MBOWE NA SLAA KUHUSU UONGOZI NA KUTUNZA FAMILIA

    Usaliti wako umeusahau kwa Dj Neiliiiiiii
  10. S

    JamiiForums Tanzania Bongo movies...

    Jambazi kabla hajavamia ndani anavua viatu mlangoni. Kisa mwenye nyumba amekataza carpet lake lisichafuke.
Back
Top Bottom