Mwanafunzi anapogeuka Bosi wa Walimu wake-HAZINA

leroy

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
1,623
Reaction score
2,227
Kitendo cha Rais Kikwete kumteua Mwigulu Nchemba kuwa Naibu Waziri wa Fedha kinamaainisha kwamba Mwigulu atakuwa bosi wa Walimu wake wa Zamani katika Idara ya Uchumi Chuo kikuu cha Dar es Salaam Dr. Likwelile na Prof. Mkenda.

Minister: Saada Mkuya
Deputy Minister (Policy): Mwigulu Nchemba

Permanent Secretary: Dr. Servacius Likwelile
Deputy Permanent Secretary (Policy)- Prof Adolf Mkenda
 
Hii ndo JF hata kama kitu ukijui utakijua tu......Inawezekana kulikua akuna mwenye sifa zaidi ya Mwigulu katika nafasi hiyo ya unaibu waziri wa Fedha baada ya Mkuu kuangalia ila Katiba mpya itakuwa ndio suruhisho ya haya.
 
MAISHA NI KAMA VIDOLE HAYAKOSI KUZIDIANA
images
 
Kitendo cha Rais Kikwete kumteua Mwigulu Nchemba kuwa Naibu Waziri wa Fedha kinamaainisha kwamba Mwigulu atakuwa bosi wa Walimu wake wa Zamani katika Idara ya Uchumi Chuo kikuu cha Dar es Salaam Dr. Likwelile na Prof. Mkenda.

Minister: Saada Mkuya
Deputy Minister (Policy): Mwigulu Nchemba

Permanent Secretary: Dr. Servacius Likwelile
Deputy Permanent Secretary (Policy)- Prof Adolf Mkenda
Sio hao tu na pia mkuu wa chuo cha usimamizi wa fedha,prof G.Mjema nae alikuwa mwalimu wa uchumu udsm kabla ya kuteuliwa kuwa mkuu wa chuo hicho na hivyo bila shaka alikuwa mwalimu wa mh mwigulu ... na ukizingatia ifm iko chini wa wizara ya fedha ...
 
Mkuu leroy: Ulikuwa hujui kuwa siasa ya majitaka inalipa? MN amakuwa msitari wa mbele kwa vijembe kwa wapinzani na hata kupanga mikakati ya hovyo na sasa amepozwa. Na hivi ndivyo mambo yatakavyokuwa:

Dr.: Mh Karibu sana, fisi yako iko upande huu.
MN: Asante sana. Shikamoo mwalimu. Huyu sekretari pale ameolewa?
Dr: Nadhani. Mh. kwa kuwa uko kwenye sera utakuwa unafanya kazi kwa ukaribu zaidi Prof. Ngoja nimwalifu
[Hapo Dr. amnazuga ili kukwepa mwanzo wa skendo za wake za watu]
Baadaye Prof akiingia
Prof: Habari za leo Mh? Nimeskia unaniita
MN: Nzuri sana, Shikamoo Prof. Mmmh, nilikuwa nataka kuweka wazi mambo ya sera hapa. Sera ya kwanza ni kuhakikisha ofisi yangu inakuwa na vi.do.sho wa kutosha .... Sera ya Pili ni kuwa MPESA yangu iwe inawekewa pesa za kutosha; namaanisha pesa kwa maana ya vijisenti.
 
Last edited by a moderator:

Nachojiulizaga jeykey anaangaliaga vigezo gani??!! Maana sionagi uadilifu na uchapakazi,au hapendi kuchagua wachapakazi ili wasimzidi ufanisi ili ionekane Tatzo ni watendaji na sio yeye??!!

Kama bungeni kuna wabunge wazalendo haswa basi wangeanza mchakato wa kumpigia Ki.kwete kura ya kutokuwa na imani kwani ni hasara tu kwa 2 more years!!!
 
Last edited by a moderator:
Kitendo cha Rais Kikwete kumteua Mwigulu Nchemba kuwa Naibu Waziri wa Fedha kinamaainisha kwamba Mwigulu atakuwa bosi wa Walimu wake wa Zamani katika Idara ya Uchumi Chuo kikuu cha Dar es Salaam Dr. Likwelile na Prof. Mkenda.

Minister: Saada Mkuya
Deputy Minister (Policy): Mwigulu Nchemba

Permanent Secretary: Dr. Servacius Likwelile
Deputy Permanent Secretary (Policy)- Prof Adolf Mkenda

kwa sie tuliopitia ualimu,huwa tunajisikia faraja sana pale mwanafunzi wako anapofanikiwa
 
Hushangai ya Mr zero kuongozo phd za dini unashangaa hayo? Hushangai kiongozi wa roho kuja kuongoza wanywa viroba? Hushangai chama cha ukabila hakijafutwa mpaka sasa wakati sheria hairuhusu?
 
Kweli vijembe kwa Maccm vinalipa. Mwenye kuleta thread ameomba tuijadili kuwa inakuwa vipi pale mwanafunzi akiinuliwa na kuja kuwa Boss wa mwalimu wake. Hilo ndio tungejikita hapo thread hii ingependeza. Lakini, lumumba buku 7 tayari mnaiga tabia ya huyo Boss ya vijembe. Kila kitu mnakifanya issue sasa mnageuza mawazo ya mwenye thread na kuitolea mifano CDM.
Jamani haijazungumzwa uongozi wa CDM hapa ni ualimu nature yake ulivyo. Thread inauliza utajisikiaje pale wewe ukiwa bado kazini, ghafla mwanafunzi wako akaletwa kuja kuwa Boss wako! Mabuku 7 hebu jikiteni hapo tuone mawazo yenu. Mtapewa jasho lenu leo lakini komaeni na thread mjenge hoja hapo. Acheni kejeli zenu na mipasho yenu. Sii kila kitu ni mipasho. Fo.o.lish people on the wrong horse.
 
Kujadili nini utajadilii umbea?ushangai mwalimu kakufundisha primary baadae unakuja kuwa headmaster nini cha ajabu? Nyie tatizo lenu viroba mmekaa ka wanawake
 
Pamoja na ukweli kuwa Mwigulu anakuwa bosi wa waalimu wake, kikubwa ambacho anatakiwa kufanya ni kutumia busara zaidi katika nafasi aliyonayo kuliko kuanza kuionyesha misuli. Ili aweze kufanikisha ndoto zake kisiasa watu hao ni muhimu sana kushirikiana nao. Hapo ndipo anatakiwa kuonyesha ukomavu wake kisiasa.
 
Hushangai ya Mr zero kuongozo phd za dini unashangaa hayo? Hushangai kiongozi wa roho kuja kuongoza wanywa viroba? Hushangai chama cha ukabila hakijafutwa mpaka sasa wakati sheria hairuhusu?

Man imepigwa jana tatu na zote kafunga etto.
 
Watanzania tumeshaharibikiwa!
Tutaongea sana katika hili lakini katika uhalisia wa mambo hebu iite picha pale wale mawaziri walipokuwa hawapo ofisini baada ya kujihudhuru ....then sasa baada ya kabadilishwa hizo nafasi zao. Does it make any difference!?
Binafsi siamnini kama waliopekwa wizara ya fedha kwa mfano wanaenda kufanya kazi yoyote ya Mtanzania mbali na kuangalia 2015 kwa maslai ya watu wasiofika hata 1% ya Watanzania. Inasikitisha!
 
Kwa ninavyojua. Naibu waziri hana nguvu yoyote kwa katibu mkuu. Hata waziri mwenyewe usione anaongea kiutendaji na maamuzi katibu mkuu wa wizara ndo kila kitu mkuu.
Minister: Saada Mkuya
Deputy Minister (Policy): Mwigulu Nchemba

Permanent Secretary: Dr. Servacius Likwelile
Deputy Permanent Secretary (Policy)- Prof Adolf Mkenda
 
Nachojiulizaga jeykey anaangaliaga vigezo gani??!! Maana sionagi uadilifu na uchapakazi,au hapendi kuchagua wachapakazi ili wasimzidi ufanisi ili ionekane Tatzo ni watendaji na sio yeye??!!

Kama bungeni kuna wabunge wazalendo haswa basi wangeanza mchakato wa kumpigia Ki.kwete kura ya kutokuwa na imani kwani ni hasara tu kwa 2 more years!!!

BAU (Business as usual)
 
Back
Top Bottom