Recent content by Sessy

  1. S

    EWURA yabariki mafuta yaliyokataliwa Rwanda, sasa kuuzwa nchini

    kweli hii ndio tanzania dampo la kila kitu
  2. S

    Obama atenga mabiioni kutaka mashoga watambuliwe

    tumekwisha sisi omba omba ....huyu raisi ambae kila siku mguu na njia usa kuomba atakataha hili sijui .....mungu atusaidie
  3. S

    Ushauri kwa Dr. Steven Ulimboka

    naunga mkono hoja akificha yatamkuta ya mwakyembe....ukweli ndio utakaomuweka huru
  4. S

    Dr. Slaa, Mbowe waweka historia Kilombero!

    peoples power....together we can
  5. S

    Kova mpya aibukia morogoro na staili mpya!!!

    tanzania ukiwa mkweli na mfichua maovu maisha yako yapo hatarini
  6. S

    Serikali yanunua V8 25mpya kutoka Toyota!

    kwenye hospital za sisi walala hoi wanatununulia bajaji wenyewe vx
  7. S

    Madaktari leo kujadili sakata la Ulimboka

    dr.ulimboka sema ukweli kuficha mambo kutakuletea matatizo kumbuka mwakyembe alificha mambo walichomfanyia ni kumuua taratibu.....ukweli ndio pona yako
  8. S

    Bungeni: Waziri Membe aiponda taarifa ya Wenje aihusisha na JamiiForums

    mimi nafurahi kuona kuna viongozi wanapita hapa jf naamini kuna idea fulani wanazipata humu
  9. S

    Naibu Waziri apata ajali mbaya

    tunampa pole ninamuombea Apone haraka
  10. S

    MPASUKO mkubwa CCM, Juhudi za Kimataifa zinahitajika kukinusuru!

    hiki chama acha kife tu hata leo usiku ....we have to support chadema now for new colonization era of better life....R.I.P CCM YOU HAVE GONE TO LATE
  11. S

    Ole-Sendeka atimuliwa kikaoni na wananchi!!

    safi sana inatia asira kwa kweli kuwa ni viongozi kama hawa
  12. S

    JK afungua warsha ya maendeleo

    hujaeleweka mkuu kafunguka katika kivipi
  13. S

    Mama Kilango v/s Sophia Simba ndani ya uchaguzi wa UWT...

    kwa nini mtu akishapewa madaraka hataki kutoka kuachia na wengine....nadhani ni wakati wa sophia kumpa mtu mwingine nae tuone ataongoza vipi hii jumuiya
  14. S

    Lema akutana na Meya wa jiji la London nchini Uingereza

    all the best lema ikiwezekana muje hata italy
  15. S

    Tiketi ya treni hadi uwe na kitambulisho

    ninaunga mkono hoja ni kwa usalama wetu na taifa kwa ujumla na sio tanzania tu china kupanda tren lazima passiport au kitambulisho kwa wachina, italy popote unapoenda lazima uwe na passiport au permit kwa sababu muda wowote na mahali popote askari anaweza kukusimasha na akahitaji kuviona hivyo vitu
Back
Top Bottom