Bungeni: Waziri Membe aiponda taarifa ya Wenje aihusisha na JamiiForums

JF ni full NODOZ kama wao wanakosa hapa wanapata,
hapa ni ukweli tupu ukiwa mbabaishaji kama ZITTO lazima ukimbie.
JF unafiki hautakiwi
 
Kwanza kuanzia sasa nataka kutumia jina kamili na full address ili wakashtaki vizuri. Jamani naomba msaada wa jinsi ya ku edit profle yangu. Na picha naweka

Mkuu nenda kwenye seting kisha fanya editing. Rahisi sana.
Lakini ukshajiweka peupe kama sisi wengine, jua kila kitu unachoandika humu lazima utakuwa accountable pia. Sasa kwa kuwa unataka kubadili jina la sasa HAYAJAMANI, nakushauri pitia michango yako yote ya huko nyuma maana nayo utakuwa accountable nayo daima dumu mbele ya safari. Kutumia jina na picha yako halisi ina challenge zake, kubwa ni accountability.
 
JF ni zaidi hata ya gazeti kwani mambo mengi hupatikana live kwa haraka. they should use it as a mirror which reflects their own image. ingawa JF hailengi sana kusifia kule kutaja makosa ndiko kunasaidia kurekebisha . MTU HUTUMIA KIOO SI KUONA UZURI BALI KUGUNDUA KASORO ILI AJISAHIHISHE
 
Sio mbaya hata mtandao wa twitter nao watu wengi walipogundua Barack Obama naye yumo walijiunga. Kwa hiyo hata watu wanapogundua mtandao kama JF unasomwa na wengi nao wanakuwa motivated kujiunga. Nami pia nilijiunga baada ya kuwa motivated kupitia kaka yangu.
 
Haya tuichangie sassa JF iendeleee ila naskia kiongozi mmoja wa serikali ni memba mzuri sana hapa jamvini ila nae bado hajalipa japo kamchango kadogo kama kangu

Pia Nundu alileta kilio chake huku kupitia ule utenzi wake mwanana, sasa sijui anatumia ID ngapi hapa lol....

Umenikumbusha kaka

"Mkono mtupu haulambwi"
 
Membe jana alipokuwa anajibu hoja ya msemaji wa Upinzani ( H. Wenje) kuhusu Rais kuitwa omba omba kwenye mkutano wa Davos na wazungu alisema; Nimefuatilia hoja yako kupitia mtandao wa waandaaji wa mkutano wa DAVOSlakini sikupata --- kumbukumbu za mkutano wa DAVOS hazipatikani kwenye mitandao yao ila zinapatikana ktk JF.

Mwakyembe akijibu swali la H. Wenje kuhusu bandari ya Mtwara ( Sikumbuki swali la Wenje na siku ) alisema hiyo habari umeichukua JF ( kama vile na yeye ameona JF)

My take;
Je, hii ni kusema kwamba sasa JF Inasomwa sana na viongozi wakubwa wa serikali, na ndio maana taarifa nyeti za serikali zinawekwa humu JF? Je, JF itakuwa na mchango mkubwa sana ktk kubadilisha siasa za nchi yetu kadri internet inavyoingia mpaka kwenye simu za mkononi nk?.
Ninawaza tu.

Social media the world over is now the IN thing, usisahau face book, twitter na you tube among others had a phenomenal impact kwenye Arab spring and now taking that cue no wonder umesikia bungeni akina mch. Lwakatare na wengine wa aina hiyo they are crying foul wakitaka ipitishwe sheria ya kuzifungia social mediums kama JF ili wafiche uchafu wao kama kuiba umeme na mambo kama hayo. but there will be no let up; wakijifanya wanajua kusuka na sisi wanaharakati tutawaonyesha kwamba tunajua kunyoa! mbona computer virus bado ipo tu licha ya anti virus kibao, mnyonge dumu daima atapata njia ya kusurvive, it is about adoptation to the environment, kazi kwao, as long as wanatenda ndivyo sivyo, yatajulikana na njia ya kuyaanika itapatikana tu sambamba na kuendelea kuielimisha jamii pana ya tanzania kuhusu demokrasia na haki zao za msingi including kupata katiba ambayo sio tu iwe mpya bali pia ikidhi mahitaji ya nyakati na kurekebisha dhuluma ambazo tume-endure kwa miaka 50.
 
Mkuu mleta mada,

JF inafahamika sana na kwa sasa kuna baadhi ya wapenda Demokrasia na Maendeleo ambao wapo tayari kuipa nafasi zaidi JF katika majukwaa ya kimataifa.

Mimi ni mmoja wa watu ambao tumekuwa tukiitumia JF kwa muda mrefu na bado miaka migi imeenda bado tumo.

Kuna mdau kutoka Goldsmith University ambae anafanya research yake kuhusu JF kama unavyoona kwenye kiunganishi hapo juu.

Huyu jamaa alikuwa na interest sana ya kuelewa kuhusu ni vipi mawazo ynayotokana hapa yanawafikia wanasiasa na watoa maamuzi wengine kwahio ameamua kuifuatilia jamvi hili.

Tumpe ushirikiano na tumsaidie kwani JF huko tuendako hasa 2015 itakuwa ikishiriki kwa kina kuhusu uchaguzi wa raisi na sisi baadhi ya wanachama tutakuwa tukishirikiana kuhakikisha kila habari inayohusu uchaguzi huo inarushwa kwenye mtandao huu na mitandao mingine kama Facebook na Twitter.
 
Wanajificha na wanajifichua watuache tuendelee kuwapa mbinu za kuongoza hii nchi
 
Leticia Nyerere anang'ang'ana tusakwe, tufikishwe mahakamani, tufungwe. Anachokiona yeye humu ni matusi tu!

Yule ni mbunge BOYA tu alidandia Chadema na kutumia jina la Nyerere kupata ubunge lakini upstairs hakuna kitu; angalia hata michango yake bungeni ilivyokuwa butu!! Mwakyembe na Membe ni wana janvi tunao humu ingawa hawatumii majina yao halisi.
 
Membe jana alipokuwa anajibu hoja ya msemaji wa Upinzani ( H. Wenje) kuhusu Rais kuitwa omba omba kwenye mkutano wa Davos na wazungu alisema; Nimefuatilia hoja yako kupitia mtandao wa waandaaji wa mkutano wa DAVOSlakini sikupata --- kumbukumbu za mkutano wa DAVOS hazipatikani kwenye mitandao yao ila zinapatikana ktk JF.

Mwakyembe akijibu swali la H. Wenje kuhusu bandari ya Mtwara ( Sikumbuki swali la Wenje na siku ) alisema hiyo habari umeichukua JF ( kama vile na yeye ameona JF)

My take;
Je, hii ni kusema kwamba sasa JF Inasomwa sana na viongozi wakubwa wa serikali, na ndio maana taarifa nyeti za serikali zinawekwa humu JF? Je, JF itakuwa na mchango mkubwa sana ktk kubadilisha siasa za nchi yetu kadri internet inavyoingia mpaka kwenye simu za mkononi nk?.
Ninawaza tu.

JF ina mchango mkubwa sana,we unadhani kwanini walitaka kuifungia mwaka 2008?
 
japo lengo lao ni kuiponda, kama utakua umesikiliza tone zao.
 
Membe jana alipokuwa anajibu hoja ya msemaji wa Upinzani ( H. Wenje) kuhusu Rais kuitwa omba omba kwenye mkutano wa Davos na wazungu alisema; Nimefuatilia hoja yako kupitia mtandao wa waandaaji wa mkutano wa DAVOSlakini sikupata --- kumbukumbu za mkutano wa DAVOS hazipatikani kwenye mitandao yao ila zinapatikana ktk JF.

Mwakyembe akijibu swali la H. Wenje kuhusu bandari ya Mtwara ( Sikumbuki swali la Wenje na siku ) alisema hiyo habari umeichukua JF ( kama vile na yeye ameona JF)

My take;
Je, hii ni kusema kwamba sasa JF Inasomwa sana na viongozi wakubwa wa serikali, na ndio maana taarifa nyeti za serikali zinawekwa humu JF? Je, JF itakuwa na mchango mkubwa sana ktk kubadilisha siasa za nchi yetu kadri internet inavyoingia mpaka kwenye simu za mkononi nk?.
Ninawaza tu.

JF is great I love it. Watawala na viongozi wengi wa Tanzania hasa chini ya mfumo wa CCM ni waoga kuelezwa ukweli kuhusu mienendo yao iliyojaa upidishaji wa haki na kweli. Ushauri wa bure kwao, wawe waadilifu na waendeleze dhamira safi na dhati katika kuongoza. Wasiwasi wao ni kuogopa uozo na maovu yao kuanikwa hadharani. JF tujitajidi kuwa wakweli na wawazi wanaoichukia watachoka na hatimae kuipenda.
 
mimi nafurahi kuona kuna viongozi wanapita hapa jf naamini kuna idea fulani wanazipata humu
 
Leo mbona hakujibu swali la watuhumiwa wa rada? Lilielekezwa kwake, badala yake wakati wa kutoa majibu ulipokuwa ukikaribia kwa wizara yake, akaondoka bungeni, swali likajibiwa na yule yule wa jana, ambaye naye anaendelea kujikanganya tu! Makindakinda wanacheza.

Kumbe Membe he is not a man of his words. Udhaifu mkubwa huu. Anazidi kuji-expose. Jana kaonesha irresponsibility ya hali ya juu sana katika dhana ya uwajibikaji wa pamoja.
 
Nimefarijika kwa mara nyingine na kujiridhisha kuwa Membe ni member wa JF damu damu.

Ahsante Membe kuipa JF promo kama ile ya Msekwa. Yaani JF inapata promo kila uchao.
 
Back
Top Bottom