Recent content by Sesko

  1. Sesko

    JamiiForums Tanzania Dilemma: Mke alikiri mtoto wa mwisho si wa mume na kisha akafariki. Mshaurini mume afanyaje baada ya huu usaliti

    Hakuna mkamilifu, na wakuwakabidhi mtoto ndio hawapo, samehe na ishi nae huyo mtoto kama mwanao halisi. Huenda kuna kheri kubwa ndani yake.
  2. Sesko

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Waarabu hawapendi kuwa na mahusiano na watu weusi?

    Inategemea na familia, wanalika vizuri tu na ni watamu kinoma!
  3. Sesko

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

    Haya sawa!
  4. Sesko

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Hard work pays bro! Tz tuache janja janja na siasa kwenye mpira, tuwekeze haswa kwenye soka, inalipa sana.
  5. Sesko

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Let's go Morocco
  6. Sesko

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Mawaziri Mizigo kuwahi kuteuliwa Tangu 1995-2026

    Hhm!
  7. Sesko

    JamiiForums Tanzania Huwa najiuliza, Michael Scofield ilikuwaje akawa shoga?

    Huwa napotezea mambo yake ya nje ya box ili niweze kufatilia series, ni kali sana na namna alivyovaa uhusika huwezi kuamini ka jamaa ni zakwacha!
  8. Sesko

    JamiiForums Tanzania Hivi Kweli Mapenzi ni kitu cha kumliza Mtu?

    Kanuni ni kupenda kwa kiasi, kuchukia iwe ni kiasi.
  9. Sesko

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Ipi ilikuwa sababu

    Cha maana hakikosekani, sio kwa mahaba hayo😂
  10. Sesko

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Ipi ilikuwa sababu

    Kwahyo kwasasa unaye wa og na assistant.
  11. Sesko

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Ipi ilikuwa sababu

    Na bado machungu unayo, unamkumbuka ee kwani alikupa nini? Haha, Fanya unieleze hata private,
  12. Sesko

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Ipi ilikuwa sababu

    Yaani ulikua mshamba wa mahaba😂, mpaka uzi nitag niuone, haha
  13. Sesko

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Ipi ilikuwa sababu

    Mungu alijaze nuru kaburi la mama, Hiyo siri itakua ni siri haswaaa, maisha yana mambo mengi sana!
Back
Top Bottom