Recent content by Serikali3

  1. Serikali3

    Mume wangu hataki kuvunja ndoa, nifanyeje?

    Nimetengana na mume wangu kwa miaka 8 sasa, kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kutojali familia hasa watoto na matatizo mengine ya kimaumbile. Nilifunga ndoa ya kanisani nimekuwa busy sana kutafuta pesa ili watoto wasome, kiasi kwamba sikuweza kushughulika na mambo ya ndoa kudai matunzo ya...
  2. Serikali3

    Tupeane tips na uzoefu wa kukutana mitandaoni. Online Dating

    Hata mm naamini kabisa humu ndani kuna watu wazuri na washauri wazuri tu, labda aseme yeye hajawahi kukutana nao binafsi nimekutana nao na kwa kusoma comment zao unaelewa ni watu wa aina gani. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Serikali3

    Tupeane tips na uzoefu wa kukutana mitandaoni. Online Dating

    Kabisa mkuu, kuna mtu nilikuwa nachat naye kwa wiki moja tu nikamfahamu ni mtu wa aina gani, nilimblock once na sikutaka tena kufanya mawasiliano naye. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Serikali3

    Tupeane tips na uzoefu wa kukutana mitandaoni. Online Dating

    Nakushukuru sana kwa elimu hii, you said it all, mimi nilikuwa naogopa sana hizi online dating, nilitengana na mume wangu kwa muda wa miaka 8 sasa, nashindwa kabisa kudate na mtu kutokana na ubisy wa kazi nilizonazo ila nimekuwa nikipata watu mtandaoni nakuwa siwaamini, nahitaji confident man...
  5. Serikali3

    Wana Kigoma: Njooni mtusaidie kwanini Kigoma uwe mkoa masikini kuliko yote Tanzania?

    watu na akili zao wanaweka hivyo ili miradi mingi ipelekwe huko baki hivyo hivyo na utajiri wa mkoa wako wakati wazazi wako ni masikini
  6. Serikali3

    Wana Kigoma: Njooni mtusaidie kwanini Kigoma uwe mkoa masikini kuliko yote Tanzania?

    acha uongo we unazo, hapo tu unatumia tecno halafu unaongea vitu usivyovijua, hivi kigoma unaijua vizuri wewe,kusoma hujui hata picha tu unashindwa kuelewa, watu wana mijengo ya kufa mtu, na mzu guko wa pesa uko juu sana huwezi kufananisha kigoma na Tanga, cjui Bagamoyo, cjui lindi na Mtwara...
  7. Serikali3

    Wana Kigoma: Njooni mtusaidie kwanini Kigoma uwe mkoa masikini kuliko yote Tanzania?

    wewe nadhani unaongelea mambo ya kuhadithiwa mm nasomesha watoto zaidi ya wa3 na ni wa kigoma pure, na wapo wengi tu wana pesa zao hao wageni ni wachache sana na ni watumishi ambao huwezi kuwalinganisha na shule zilizopo kule, watu wanapiga kitabu, nimetembea maeneo mengi hapa nchini ninesoma...
  8. Serikali3

    Wana Kigoma: Njooni mtusaidie kwanini Kigoma uwe mkoa masikini kuliko yote Tanzania?

    Afadhali wewe umeweza kuona kwa mbali kidogo, kuna makabila hapa nchini yana hali duni sana kulingamisha na waha, mfano wazaramo, wamakonde, watu wa Bagamoyo, etc yaani pwani yote hamna kitu watoto hawasomi, kigoma mbona wako vizuri tu na watu wanapiga kitabu ukitaka kujua kigoma iko vizuri...
  9. Serikali3

    Wana Kigoma: Njooni mtusaidie kwanini Kigoma uwe mkoa masikini kuliko yote Tanzania?

    Hayo yaliyoelezwa yote hayana ukweli wowote watu wa kigoma wanajielewa na kuna maendeleo makubwa sana huwezi kyilinganisha kigoma na Pwani au Tanga,na Bagamoyo ambako watu ni wavivu kupindukia wanakula mlo mmoja hafifu akili duni mpaka nikawa najiuliza hivi kuna uhusiano wowote na Bahari na...
  10. Serikali3

    Ni kweli waliouawa Mwanza walitoka Kibiti?

    sasa hivi wanasakwa vibaya mno majuzi kuna mtu alikuja kutafutwa maeneo ya Nachingwea ikaonekana alitokea kibiti na alikuwa ameomba kibarua sehemu ya fenicha ambapo alikaa kama wiki 3 huku wenyeji hawakujua ametokea wapi na alikuwa anepanga vyumba viwili katika maeneo tofauti, wakati wenyeji...
  11. Serikali3

    Eti nimshike kote lakini kifuani `no`

    nadhani hata mleta thread naye ni mgeni katika ulimwengu wa mahaba, kama ukiwa vizuri katika maandalizi ya mwezi wako na ukajua maeneo gani hasa umshike ili awe tayari utajikuta anakuachia kila unachotaka kufanya kwa kuwa na mwenyewe atafurahia. ukion hali hii tambua bado hujajua 18 zake na...
  12. Serikali3

    Ndoa za wasomi

    Ha ha! yaani nimekupenda bure, hata mimi nahisi hivyo hivyo, mwanamke vidato bwana.
  13. Serikali3

    Ndoa za wasomi

    kabisa, na mimi pia napenda mwanaume aliyesoma, mwanaume/mwanamke asiye na shule hata siri hana yaani akidet na mtu lazima marafiki zake wote wajue. mimi sipendi kabisa mwansume asiye na shule, huwezi hata kuchat naye, kiingereza kidogo tu anashindwa kuelewa, hata mambo ya duniani anakuwa hajui...
  14. Serikali3

    Watanzania ni watu wa ajabu sana!, Wanamwaminije Gwajima kuliko Rais wao?

    aje na ushahidi kwa kosa gani lililopo mahakamani, sheria inataka anayetuhumu aweze kuthibitisha tuhuma zake kwanza, hakuna hata mmoja aliyethibitisha, si Gwajima wala Mange wanapiga bla bla tu na kulisha watu sumu.
Back
Top Bottom