Tupeane tips na uzoefu wa kukutana mitandaoni. Online Dating

Kwanza Mtumiane Picha Kabla Ya Yote Ili Ujue Kama Mnaendana Ama La Na Wala Usiogope Kumwambia Kama Hujavutiwa Naye Maana Hizi Ni Zama Za Ukweli Na Uwazi Siyo Kwenda Kibubu Bubu Unaweza Ukakutana Na Lizee
Inawezekanaje wakt mtu hajakutongoza kama alikua na nia ya urafiki tu? labda kwenye bandiko......me nkiweka bandiko nasema mtu aje na picha iambatane na wasifu wake hahaa
 
Inawezekanaje wakt mtu hajakutongoza kama alikua na nia ya urafiki tu? labda kwenye bandiko......me nkiweka bandiko nasema mtu aje na picha iambatane na wasifu wake hahaa
Teh Teh Kwenye Mapenzi Kuna Kitu Kinaitwa vigezo Na Masharti Kuzingatiwa
 
Ushauri mzuri Ely. Ukiachana na JF nimeona watu wanakutana na mabinti wa ndunia ya mbali wanafahamiana.

Binti anaenda Tz jamaa anamhost. Jamaa naye anaenda kwa binti anamhost. Mwisho wa siku wengi wao wanakuwa wapenzi na kuoana.
 
Tena kama unaweza kuvuka border ni poa zaidi, date na watu toka ulaya au hata afrika magharibi huko. Ila lazima mfuko ukae sawa.

Kuna forum inaitwa TAM wapo watu waliopo open sana kwenye relationships. Huwezi kuona mambo ya kijinga kama huku kwetu.
 
Nakushukuru sana kwa elimu hii, you said it all, mimi nilikuwa naogopa sana hizi online dating, nilitengana na mume wangu kwa muda wa miaka 8 sasa, nashindwa kabisa kudate na mtu kutokana na ubisy wa kazi nilizonazo ila nimekuwa nikipata watu mtandaoni nakuwa siwaamini, nahitaji confident man anayejitambua mwenye umri kuanzia miaka 40 na kuendelea awe msomi nashindwa kabisa kufanya uhusiano na mtu asiyesoma hata kama ana pesa kiasi gani. anyone out there!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom