Eti nimshike kote lakini kifuani `no`

Eti nimshike kote lakini kifuani `no`

Mimi ni kijana ambaye tangu nilipooa nimemaliza mwezi mmoja na siku mbili,awali kabla sijaoa nilikuwa na uhusiano na wasichana wawili ambao niliachana nao ndipo nikamuoa huyu niliyenaye ambaye mimi ndiye mwanaume wake wa kwanza.

Kinachonisibu hadi nimeamua niombe ushauri kwenu ni tabia ya mke wangu kutopendwa kabisaa kushikwa kifuani tunapokuwa eneo letu la kujiachia, yaani nikifanya hivyo anakuwa mkali sana na kuhamia katika kitanda kingine. Ukiacha hilo, pia hapendi tupeane mabusu,kitendo hicho kinaninyima raha ya mapenzi hadi najuta kwanini nimemuoa au nimuache ?

Nnaombeni ushauri wadau
na wewe nani alikuambie uwe na vitanda vingi?, pili hizo ndio hasara za kununua mbuzi kwenye gunia.Hebu tupe namba zake
 
nadhani hata mleta thread naye ni mgeni katika ulimwengu wa mahaba, kama ukiwa vizuri katika maandalizi ya mwezi wako na ukajua maeneo gani hasa umshike ili awe tayari utajikuta anakuachia kila unachotaka kufanya kwa kuwa na mwenyewe atafurahia.

ukion hali hii tambua bado hujajua 18 zake na hafurahii tendo la ndoa yaani ni ili mradi kwa kuwa ni mke wake.

nilipata tabu sana baada ya kupata mwanaume wa jinsi hii ambaye hajui kumuandaa mwanamke anajali hisia zake tu na ni ile dk2 tu ameshamaliza kazi na kusinzia, niliumia sana na kujilaumu kwa nn sikuanza mambo haya mapema.

Nakushauri jichunguze kama unamridhisha mkeo kama sivyo tafuta darasa na ujifunze kupitia makala mbalimbali namna ya kumuandaa mwezi wako.
 
Asante Mkuu
 
Lengo la kumshika maziwa ni kumfurahisha yy au kujifurahisha ww.. Kama yy anahisi hzo kitu zinamkata stimu achana nayo fanya mengine.
 
Mimi ni kijana ambaye tangu nilipooa nimemaliza mwezi mmoja na siku mbili,awali kabla sijaoa nilikuwa na uhusiano na wasichana wawili ambao niliachana nao ndipo nikamuoa huyu niliyenaye ambaye mimi ndiye mwanaume wake wa kwanza.

Kinachonisibu hadi nimeamua niombe ushauri kwenu ni tabia ya mke wangu kutopendwa kabisaa kushikwa kifuani tunapokuwa eneo letu la kujiachia, yaani nikifanya hivyo anakuwa mkali sana na kuhamia katika kitanda kingine. Ukiacha hilo, pia hapendi tupeane mabusu,kitendo hicho kinaninyima raha ya mapenzi hadi najuta kwanini nimemuoa au nimuache ?

Nnaombeni ushauri wadau

Waliosema "shake before use" hawakukosea [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom