Recent content by Septem

  1. Septem

    HAFLA KUBWA YA MUZIKI WA DANSI

    Muziki wa dansi ni muziki ambao umekuwepo nchini kwa muda wa miaka mingi.. Kwa takribani miaka mitatu sas muziki wetu huu umeyumba. Wadau tunafanya juhudi za kuurudisha muziki huu kwenye heshima yake. Wafia muziki huu tunataraji kuwa na hafla kubwa ya muziki wa dansi. Hafla hii itawakutanisha...
  2. Septem

    Muonekano mpya wa Ommy Dimpoz in baada ya kupata nafuu

    No offence , ila watu wa mwisho wa reli wana 'ulimbukeni ' sana
  3. Septem

    Uongo wa serikali kuhusu kuonesha bure chaneli za ndani kuanzia Trh 05/9/18.

    Nina ving'amuzi vya Dstv, zuku na azam, sikumbuki last time nimlipia lini.... Natumia Cable tu za suppliers wa mtaani.... Local channels zote zipo, EPL, La Liga, Uefa, world cup, movie channels like hbo, ipo nyingine imeandikwa 2 n.k zote ndani kwa sh ef 8 tu.... Poleni wenye hayo mambo
  4. Septem

    Thomas Sankara: Hauwezi kuleta mageuzi ya msingi bila kuwa na kiasi fulani cha ukichaa

    Alitaka kufanya mabadiliko makubwa kwa haraka sana... Hilo ndio lilimgharim
  5. Septem

    Thomas Sankara: Hauwezi kuleta mageuzi ya msingi bila kuwa na kiasi fulani cha ukichaa

    I would like to leave behind me the conviction that if we maintain a certain amount of caution and organization we deserve victory. ... You cannot carry out fundamental change without a certain amount of madness. In this case, it comes from nonconformity, the courage to turn your back on the old...
  6. Septem

    Kwanini hakuna ugaidi China?

    ISIS Al qaed n.k hizo zote ni special groups for special task.... Sbb US na Israel wanapambana na Arab world ndio nyenzo zao hizo... Kwa china hiyo sio njia ya kupambana naye
  7. Septem

    Jiunge hapa na watu wa "just good music." Ufurahie mziki.

    Mkuu ninaitaka hii group but link inagoma
  8. Septem

    DC Kahama apiga marufuku Matangazo ya Club za Starehe yanayowataka Wasichana kuingia bila kiingilio: Adai yanawadhalilisha wanawake.

    Hawa watu wasiojua biashara ni shida sana... Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Septem

    Leo nawatoleeni Uvivu Watanzania tuliozaliwa kati ya miaka ya 1970 hadi 1985. Tuacheni upesi huu Unafiki tafadhali

    Nilitaka kulieleza hili, ila umemaliza kila kitu... Na unafiki huu unaenda hadi serikalini, eti tukio moja tu ndio lifanye adhabu hii ndio haifai, vyombo vya habari navyo vimeshupaa na mjadalabwa adhabu ya viboko... Tunapoamua kuwa adhabu hii haifai kwa tukio moja tu, je tumejiuliza wangapi...
  10. Septem

    Shamba linauzwa 700,000 tu

    It sound too good to be true... Anyway yaweza kuwa kweli...kila la kheri... Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Septem

    Polisi mjitathmini: Leo kanisani shukrani hii imenitoa chozi

    Polisi hii ni ile ile, ya miaka yote, ya tangu mkoloni, ya tangu nyerere, ndio iko hivyo dunia nzima.. Hawa jamaa huwa hawakosei....they are always right.... Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Septem

    Asili, mwanzo na kusambaratika kwa Wenge Musica 4 x 4 bcbg

    Aliulizwa amelia lias, ambaye kimsingi amehudumu bcbg kisha baadae kujiunga na wmmm, kwanini bcbg 4*4 akasema.... Aliyeruhusu wasanii kuanza kutoa solo albums ndiye alaumiwe. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Septem

    JamiiForums Usiku wa manane

    Ukiwa mpiganaji huwezi ikosa hii[emoji3] [emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Septem

    JamiiForums Usiku wa manane

    Imani tu hizo.. Bundi ni sawa tu na kuku Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom