Jiunge hapa na watu wa "just good music." Ufurahie mziki.

Humble African

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
4,779
14,303
Katika maisha ni piece ndogo sana ya sanaa ambayo huwa inapitia katika nasikio na kuzama ndani kabisa ya moyo na kuyafanya na kuyapa maisha mwanga bora zaidi.

Muziki una nguvu sana pindi unapoupata ule mziki mzuri wa kupenya hadi ndani ya moyo na kuibua hisia murua. Na ni mziki pekee ndio wenye uwezo wa kukurudisha nyuma kifkikra na ukafurahi na kupata amani. Bob Marley alikuwa hatari sana kwa ustawi wa Sera za kandamizi za dunia kwa mziki wake. Michael Jackson amewatibu maelfu ya watu kwa muziki wake.

Kwa kuzingatia hayo Karibu kiringeni kwenye WhatsApp group humo tutabadilishana miziki mbali mbali but iwe decent and classic sio this big G music..tunataka music with souls and spirit. Ingia hapa kwenye hii WhatsApp link for more info. JUST GOOD MUSIC

Let's the music play on...feel it in your heart in your soul.

See you there.
 
Mkuu ninaitaka hii group but link inagoma
 
Back
Top Bottom