Mimi ni mwalimu nahitaji kazi ya kufundisha masomo yote ya biashara katika shule za sekondari O''level na A'' level wasiliana na mimi kupitia no 0755437366 nipo mbeya kwa sasa
Tafadhali naomba msaada kwa yeyote aliyeko Dar, mashine yangu ya kutotolesha vifaranga (incubator ) niliagiza mwezi 5 ilifika dar mwezi 7! Je ni kweli bandari wanaweza kuiuza kwa kutoikomboa? Tafadhali naomba mnisaidie nifanyaje?
Agent wangu amesema hawezi kuitoa baada ya mimi kulipia na...
ingia kwenye alibaba afu check bei zake mle afu import it simple sana vifaa vya kilimo mara nying pale bandarini ni free au vina exemption fulani bana usiogope nenda tra ulizia kama iyo tracta ndogo ina kodi kiasi gani
Wadau wote mlio wahi tembelea teacher'junction Mbeya na wote mlio tapeliwa pale mbeya kwa kutoa Pesa na,vyeti,cv kujiandikisha pale kwaajili ya kuunganishwa na waajiri shule mbali mbali zoezi hilo halikufanyika na majibu yake MAKAO MAKUU WANADAI WAMEFUNGA TAWI NA MAAFISA WAO WALIO LAGHAI WATU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.