Nafasi ya kufundisha masomo ya Biashara

Nafasi ya kufundisha masomo ya Biashara

MAUBIG

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,040
Reaction score
859
Kwa wale wote wenye sifa na uwezo wa kufundisha masomo ya bookkeeping na commerce kwa O LEVEL tangazo hili lawahusu.

Shule ipo mkoani Dodoma wilaya ya Kondoa(ipo mjini) na ni ya binafsi na ni ya kutwa na bweni. Inatafuta mtu yeyote mwenye sifa za kufundisha masomo tajwa hapo juu.

1. Awe na shahada ya ualimu wa masomo ya biashara kutoka chuo kinachotambulika na serikali.
2. Awe mwenye maadili na haiba ya ualimu.
3. Uzoefu wa kufundisha wa angalau mwaka mmoja au zaidi.

Wenye fani nyingine za biashara pia watafikiriwa ikiwa watakuwa na vigezo

Shule inatoa malazi yenye umeme na maji, lunch na breakfast ukiwa kazini.

KWA MAELEZO ZAIDI KWA MWENYE SHIDA AJE PM
 
Mkuu ishu ya mshahara bei gani kwa mwezi yaani (salary per moon)
 
Back
Top Bottom